Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017.
IMG_3663.jpeg

Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao yanaenda vizuri maana naona vijana wanatungua mandinga tu.
IMG_3664.jpeg

Kila lakheri kwake.
IMG_3665.jpeg

Outlander ni moja ya chuma inayofanya vizuri na kama amenunua ya kuchaji (PHEV) atafaidi zaidi fuel efficiency.
Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!
 
Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017.
View attachment 3465694
Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao yanaenda vizuri maana naona vijana wanatungua mandinga tu.
View attachment 3465695
Kila lakheri kwake.
View attachment 3465697
Outlander ni moja ya chuma inayofanya vizuri na kama amenunua ya kuchaji (PHEV) atafaidi zaidi fuel efficiency.
Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!
Outlander wanatangaziwa gari yao bure Wasanii wetu mtihani sana. ELIMU HAMNA basi shida tupu
 
Mkuu mitsubish rvr unaionaje!?
Bonge moja la chuma, miaka ya 2010-12 mizuri sana, engine 1.8L (4B10 Engine), hii kwa experience kabisa ya 2 years nasema haina shida.

Sensitive kwenye gearbox oil (ATF) na engine oil kubadirisha ontime, ila naipa 7/10 kwenye muonekano, reliability na comfortability.
 
Back
Top Bottom