Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

Bonge moja la chuma, miaka ya 2010-12 mizuri sana, engine 1.8L (4B10 Engine), hii kwa experience kabisa ya 2 years nasema haina shida.

Sensitive kwenye gearbox oil (ATF) na engine oil kubadirisha ontime, ila naipa 7/10 kwenye muonekano, reliability na comfortability.

Poa mkuu shukrani!
 
YouTube pekee Clam alivuna Bilioni moja mwaka jana tu.
Comedy inalipa nyie
Mmmh hapa nina kila sababu ya kujiuliza ikiwa mmoja wa wanaoingiza hela nyingi zaidi kwa Tanzania ameweza kufika kiasi hiko kwa Youtube pekee

Labda kama ameunganisha na platforms nyingine na kupata mapato ya jumla

Ila anyway, chochote kinawezekana kila la heri kwao
 
Hakuna fala atakununulia gari kwa utamu wa sekunde mbili, labda uwapange foleni at least watu 10 per day
Kama wewe hujawahi wenzio ndio mtindo wao wa maisha. Watu wahonga wilaya kwa madem zao wewe ubaongelea gari?
 
Mkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.
Wee acha uongo, hela gani wanazopiga?
Mtu anunuliwe ndinga na sponsa, afu asingizie Commedy, lol

Maana hata km ile 20M ya tuzo bado asingeweza kumiliki hiyo chuma, na hapo aligawa 10 kumpa shost ake mama chanja, Afu je? Lol
 
Hakuna fala atakununulia gari kwa utamu wa sekunde mbili, labda uwapange foleni at least watu 10 per day
Wee kumbe huna unalojua, yaan kidampa anunuliwe IST, ndo sembuse demu tena slay kwiniii?
Watu wanahonga hadi nyumba na hati pia. Lol
 
Mkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.
Kwani kuna mashindano ya ku make pesa ?
Nilidhani kila mmoja anapata kinachomstahili kulingana na field yake.
 
Back
Top Bottom