Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

Wee acha uongo, hela gani wanazopiga?
Mtu anunuliwe ndinga na sponsa, afu asingizie Commedy, lol

Maana hata km ile 20M ya tuzo bado asingeweza kumiliki hiyo chuma, na hapo aligawa 10 kumpa shost ake mama chanja, Afu je? Lol
Bado sijaona sponsa wa kumnunulia gari, pisi ya kawaida sana. Yeye wenyewe alikua anasubiri babalevo afanye uchawa ndio wapate pesa
 
Hongera zake...pesa ipo mtaani...
'Kipind cha uncle Magu, aliwabana sana wajumbe wa bodi za taasisi kiasi kwamba hela za gawio walizipeleka gavoo zote, wale wajumbe wapenda vichenchede, walishindwa kulipa appartment za vimada wala kununua magari..' aaaah sijui nataka kusemaje..
 
Mkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.
Ni nani aliewaambia wanaokaa ofisi zenye viyoyozi wanapiga hela?
Wengi huwatumia kama kipimo wafanyakazi wa maofisini ilhali wengi hata mishahara yao haitishi.

Je ni kwamba mnatamani kazi zao? Mnawaonea wivu? Au hamjui ni kiasi gani wanapata??
 
Wee kumbe huna unalojua, yaan kidampa anunuliwe IST, ndo sembuse demu tena slay kwiniii?
Watu wanahonga hadi nyumba na hati pia. Lol

Utanunuliwa nyumba in your dreams sweetheart. Endelea kuamini tamthilia za kwenye tv tu.
 
Ila Cantry unawafuatilia vidampa mno, kulikoniiii???

Huko Bukinabe wapo na wanatambaa, tena vidampa ndo wanapenda niggaz type ya Traole.
😂😂😂😂😂😂
Yule mjinga aunt T hata ufanyaje lazima uone clip zake, niliona comedians walimtania kakimbia majukumu😅
Ukiwa insta hawa lazima utawajua tu
James delicious
Mauzinde
Noel
Huyo aunt T
 
Bonge moja la chuma, miaka ya 2010-12 mizuri sana, engine 1.8L (4B10 Engine), hii kwa experience kabisa ya 2 years nasema haina shida.

Sensitive kwenye gearbox oil (ATF) na engine oil kubadirisha ontime, ila naipa 7/10 kwenye muonekano, reliability na comfortability.
Outlander vs rvr ipi inabamba mkuu?
 
Back
Top Bottom