Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

Inategemea na wauzaji, ila navo hisi Mitsubishi outlander 2016 kwa bei ya dar ina eza kua 32milioni hadi 68 inadepends, ngoja wataalamu waje.

Hao wasanii usiwaamini sana, maisha yao ndo yanataka hivo hapo inaeza Kuta ni biashara ya mtu subiri uone watu wanavo sombana kwenye hizo gari, nikama semaji la caf alitambulisha gari MPYA range, watu wakajaa BAADAE ikajulikan ni balozi wa kampuni flani jina kapuni nasiku hizi anapiga debe hasa watu washuke ofsin,

Fullstop, kwishaaaaa
Hiyo gari kuna watu wameizoom inaonekana siyo mpya ni kama ina michubuko flani hivi means atakuwa kanunua used kwa mtu imepigwa rangi, sina uhakika lakini
 
Hongera zake. Ila mi najiuliza hivi kwani ukinunua gari au kujenga nyumba ni lazima uitangazie dunia? Yaani huwezi tu kukaa kimya watu waoone maendeleo yako? Au ni wivu tu unanisumbua?
Kwa sababu bado Watanzania wengi ni masikini wa magari na nyumba.
 
Hiyo gari kuna watu wameizoom inaonekana siyo mpya ni kama ina michubuko flani hivi means atakuwa kanunua used kwa mtu imepigwa rangi, sina uhakika lakini
Weka akilini hili, MSANI na wanasiasa usi waamini hata kidogo Amin nakwambia, juzi burna boy kadanganya kuhusu private jet akaumbuliwa sasa ka burna anadanganya huyu esma?

Miaka hiyo diamond alikua ananunua magari used anapiga nayo picha anadai mapya yakamuumbua kwa kuzimikia njiani, ndo life lao ila upande wa pili

Kitendo tu cha kujianika ig fb TikTok ukituliza akili hizo gari unamiliki bila hata kudanga, sema inahitaji mtu asie muoga

Siku HIZI Sanaa inalipa ukipata ubalozi tu kwenye kampuni la kueleweka crdb nmb tra, nk unatoboa mapema sana dili Moja unakunja hadi milioni mia, tisini, hamsini, wakina mwijaku na baba levo sio kitoto wanavuta hela haswa amini Hilo pia, hizo NYUMBA mansion wanazo Jenga it's real kabisa PESA ipo,

Mbona said said NAE kavuta ndinga zamani wakati ni wajuz tu, naye alihongwa? No ni balozi wa puma oil ka sikosei

lastly tumia mitandao vizuri, kama ni mrembo hata usipokuwa mrembo make up ZIPO, shituka bado mapema. Ni kujibrand kwako, ndo Dunia yetu ya zama hizi

Fullstop, kwishaaaa
 
Uko sahihi kabisa bro alex
 
Back
Top Bottom