Mkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.Uchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Kawa nayo na wewe hiyo papuchiUchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Kama kawaida yenu🚮Uchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Clam ni mbongo?YouTube pekee Clam alivuna Bilioni moja mwaka jana tu.
Comedy inalipa nyie
Outlander wanatangaziwa gari yao bure Wasanii wetu mtihani sana. ELIMU HAMNA basi shida tupuKuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017.
View attachment 3465694
Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao yanaenda vizuri maana naona vijana wanatungua mandinga tu.
View attachment 3465695
Kila lakheri kwake.
View attachment 3465697
Outlander ni moja ya chuma inayofanya vizuri na kama amenunua ya kuchaji (PHEV) atafaidi zaidi fuel efficiency.
Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!
Kwani zinauzwa!?Kawa nayo na wewe hiyo papuchi
Uchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Bonge moja la chuma, miaka ya 2010-12 mizuri sana, engine 1.8L (4B10 Engine), hii kwa experience kabisa ya 2 years nasema haina shida.Mkuu mitsubish rvr unaionaje!?