Bonge moja la chuma, miaka ya 2010-12 mizuri sana, engine 1.8L (4B10 Engine), hii kwa experience kabisa ya 2 years nasema haina shida.
Sensitive kwenye gearbox oil (ATF) na engine oil kubadirisha ontime, ila naipa 7/10 kwenye muonekano, reliability na comfortability.
Mheshimiwa Dr Baba Lelo mchezakamari ndo alikua anapumzika hapo kitamboHaya bwana comedy hii hii ya kibongo kibongo
Wewe mbona wako haujakulipa?Uchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Mmmh hapa nina kila sababu ya kujiuliza ikiwa mmoja wa wanaoingiza hela nyingi zaidi kwa Tanzania ameweza kufika kiasi hiko kwa Youtube pekeeYouTube pekee Clam alivuna Bilioni moja mwaka jana tu.
Comedy inalipa nyie
Does it really matter!Uchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Sijakashifu kununua. Nimekashifu kudanganywa kama ucheshi umemlipa mpk kanunua gari.Does it really matter!
Amenunua gari tumsifu tuache zengwe mazee.
Kama wewe hujawahi wenzio ndio mtindo wao wa maisha. Watu wahonga wilaya kwa madem zao wewe ubaongelea gari?Hakuna fala atakununulia gari kwa utamu wa sekunde mbili, labda uwapange foleni at least watu 10 per day
Wee acha uongo, hela gani wanazopiga?Mkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.
Wee kumbe huna unalojua, yaan kidampa anunuliwe IST, ndo sembuse demu tena slay kwiniii?Hakuna fala atakununulia gari kwa utamu wa sekunde mbili, labda uwapange foleni at least watu 10 per day
Billion 1 ya wapiii? Malawi au?YouTube pekee Clam alivuna Bilioni moja mwaka jana tu.
Comedy inalipa nyie
What is sanaa ?Sanaa inalipa kuliko ajira
So you are under 31 😃Yupo na beshte ake mama chanja huwezi amini mama chanja nimepiga naye paper from four,,
Kwani kuna mashindano ya ku make pesa ?Mkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.
You are older than that ?So you are under 31 😃
After 3yrs to come I will be there..You are older than that ?
You sound very mature hadi naanza kukutamani.After 3yrs to come I will be there..
Kama kawaida yenu
Uncle T a.k.a lips bumbs😁Wee kumbe huna unalojua, yaan kidampa anunuliwe IST, ndo sembuse demu tena slay kwiniii?
Watu wanahonga hadi nyumba na hati pia. Lol