Muongo wee, inaonekana ume wa follow hao.Yule mjinga aunt T hata ufanyaje lazima uone clip zake, niliona comedians walimtania kakimbia majukumu๐
Ukiwa insta hawa lazima utawajua tu
James delicious
Mauzinde
Noel
Huyo aunt T
Kwahiyo wewe unataka ukimtongoza akubali ukamle bure nafsi yako ifurahi?Huyo dada anapenda kuomba hela ukimtongoza vibaya mno leo utaskia nadaiwa na videographer nikopeshe 2M apo anakutega apo ukinisaidia ata yote sawa, kesho mzinga mwingine.
Kwa hapa Duniani ukifanikiwa ni bora iwe siri yako, binadam hawafai kuwaeleza mambo mazuri uliyonayo waeleze tu yale mabaya unayopitia, ukiwaambia mambo yako mazuri utaongeza idadi ya watu watakaopambana dhidi yako ili wakushusheHongera zake. Ila mi najiuliza hivi kwani ukinunua gari au kujenga nyumba ni lazima uitangazie dunia? Yaani huwezi tu kukaa kimya watu waoone maendeleo yako? Au ni wivu tu unanisumbua?
Wengi wanaofanya hivyo ukifatilia background zao utaelewa.Hongera zake. Ila mi najiuliza hivi kwani ukinunua gari au kujenga nyumba ni lazima uitangazie dunia? Yaani huwezi tu kukaa kimya watu waoone maendeleo yako? Au ni wivu tu unanisumbua?
Siku zote mafanikio yanajionyesha yenyewe., kutangaza ni ulimbukeni, au ndo ile maskini akipata matako hulia mbataKwa hapa Duniani ukifanikiwa ni bora iwe siri yako, binadam hawafai kuwaeleza mambo mazuri uliyonayo waeleze tu yale mabaya unayopitia, ukiwaambia mambo yako mazuri utaongeza idadi ya watu watakaopambana dhidi yako ili wakushushe
JidanganyeMkuu hawa content creators wanapiga sana ela ila kwa mtu ambayee hayuko kwenye hiyo kitu hawez kuelewa. Wanapiga pesa sana kuliko watu wanaokaa ofisi zenye viyoyozi kama bankers n.k.
Aah tafadhaliYouTube pekee Clam alivuna Bilioni moja mwaka jana tu.
Comedy inalipa nyie
Mwaka mmoja au? Kama zote 2010 engine ya Outlander kubwa 2.4L ila RVR ndogo 1.8L, transmission zinashare CVT ila sio kwamba parts za RVR utaweka kwenye OL.Outlander vs rvr ipi inabamba mkuu?
Siwezi kuwafollow hao.Muongo wee, inaonekana ume wa follow hao.
Hadi unawajua hivyo mmmh,
๐๐๐๐๐
Ndo kazi yake hiyo ni promo hizo gari za watu dada angu huwezi jua kama hujawahi pita huko I know yan unapewa Bure alaf unawazuga raia ume nunua wanaporomoka ku order magari we usha vuta chako mapema unawachora tu si kama yule semaji la caf anapewa gari anadai kamenya kumbe promo za wale jamaa, wenye show off ya magari kutafuta sokoHongera zake. Ila mi najiuliza hivi kwani ukinunua gari au kujenga nyumba ni lazima uitangazie dunia? Yaani huwezi tu kukaa kimya watu waoone maendeleo yako? Au ni wivu tu unanisumbua?
Ndo nimejua leo mkuu๐Ndo kazi yake hiyo ni promo hizo gari za watu dada angu huwezi jua kama hujawahi pita huko I know yan unapewa Bure alaf unawazuga raia ume nunua wanaporomoka ku order magari we usha vuta chako mapema unawachora tu si kama yule semaji la caf anapewa gari anadai kamenya kumbe promo za wale jamaa, wenye show off ya magari kutafuta soko
Fullstop, kwishaaa
Pamoja mkuuMwaka mmoja au? Kama zote 2010 engine ya Outlander kubwa 2.4L ila RVR ndogo 1.8L, transmission zinashare CVT ila sio kwamba parts za RVR utaweka kwenye OL.
Kwakua zinafanana platform na transmission karibia zote reliability itakua sawa, tofauti muonekano na nguvu na ulaji wa mafuta.
Kama hautaki size ndogo ishi na RVR ila kama utataka space Outlander.
Ila kama utataka kaisa Outlander ungeifikiria V6 ile yenye 3.0L yenyewe haitumii CVT ina normal 6 - gears AT.
PS: Hapo nimeongelea zote za 2010
๐๐๐Uchekeshaji my foot. Imemlipa papuchi yake sio uchekeshaji wake.
Inategemea na wauzaji, ila navo hisi Mitsubishi outlander 2016 kwa bei ya dar ina eza kua 32milioni hadi 68 inadepends, ngoja wataalamu waje.Kwani hiyo gari bei gani?