Pre GE2025 Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Walinzi wa viongozi wa Afrika ni vichekesho tosha
 
Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Kwa maoni yangu kipindi kile Cha Magu vyuma havikukaza.

NAONA SAFARI HII VYUMA VIMEKAZA KWERI KWERI.

VYUMA VIMEKAZA SIO POA AU MIMI WATU WAMENIROGA DEAL HAZIENDI KABISA 🧐 πŸ€”
 
Aina fulani hivi ya utafutaji ambayo watu walio na strong mentality hawawezi pita πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Njaa imefanya wanaume wajishushe dhamani mbele ya jamii, uchawa umekuwa ni new way ya kutafuta hela

Na jamii ipo inatazama
 
Ujinga
Umaskini
Maradhi
Uchawa
Ni laana Kwa taifa hili
 
Sasa utampigia mahoti kibaraka Lisu choka mbaya Ili akusaidie nini?
 
Samia anatakiwa akemee hii tabia ya kuabudiwa.
 
Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
ephen magoti gani kama hayo ya shayo ama haya nayofikiria mimi..?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…