Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maoni yangu kipindi kile Cha Magu vyuma havikukaza.Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Njaa imefanya wanaume wajishushe dhamani mbele ya jamii, uchawa umekuwa ni new way ya kutafuta helaWakuu
Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!
===
Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio la Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu

Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Kipindi cha Magu afadhali kuliko kipindi hikiKwa maoni yangu kipindi kile Cha Magu vyuma havikukaza.
NAONA SAFARI HII VYUMA VIMEKAZA KWERI KWERI.
VYUMA VIMEKAZA SIO POA AU MIMI WATU WAMENIROGA DEAL HAZIENDI KABISA 🧐 🤔
Yes..Kipindi cha Magu afadhali kuliko kipindi hiki
Maskini jeuri 😅😅Aina fulani hivi ya utafutaji ambayo watu walio na strong mentality hawawezi pita 😅😅😅😅
Sasa utampigia mahoti kibaraka Lisu choka mbaya Ili akusaidie nini?Wakuu
Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!
===
Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio la Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Bila kutaja taja jina la MWANAUME LISSU hupumui kabisaaa.Sasa utampigia mahoti kibaraka Lisu choka mbaya Ili akusaidie nini?
Ndio sipumui,huyo kibaraka ni mwanaume wako weweBila kutaja taja jina la MWANAUME LISSU hupumui kabisaaa.
Comment ya ki kangaroo 🦘 🦘
Njoo nikutie cha ten unipigie got Mrs GuedeKwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
'Nikutie' lugha gani hii😂Njoo nikutie cha ten unipigie got Mrs Guede
Comment ya ki KANGAROO 🦘 🦘 🦘 🦘Ndio sipumui,huyo kibaraka ni mwanaume wako wewe
ephen magoti gani kama hayo ya shayo ama haya nayofikiria mimi..?🤣Kwa jinsi maisha yalivyo magumu, hata mimi sasa hivi mtu akinipa pesa lazima nitampigia magoti.
Kuna magoti gani tena tofauti na ya shayoephen magoti gani kama hayo ya shayo ama haya nayofikiria mimi..?🤣