TANZIA Mchekeshaji Pembe afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji Pembe afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji mkongwe Tanzania Mzee Yusuph Kaimu maarufu kwa jina la Pembe amefariki dunia muda wa alasiri ya leo Oktoba 20, 2024.

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na baadhi ya wachekeshaji wenzie na wasanii wa filamu aliowahi kufanya nao kazi enzi za uhai wake na taratibu za mazishi zinafuata.
 

Attachments

  • FB_IMG_1729440540357.jpg
    FB_IMG_1729440540357.jpg
    33.6 KB · Views: 6
Nilianza kumuona tangu miaka ile akiwa kwenye Kundi la Sanaa la Kaole akiwa na Swahiba wake Senga

Kwa kweli aliitendea haki Sanaa ya Vichekesho

Pole nyingi Kwa familia yake, ndugu na jamaa Kwa Msiba huu 😭😭
 
Back
Top Bottom