Ally ayubu
Senior Member
- Jan 6, 2024
- 188
- 104
R I P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna social media na smartphoneHuyu bwana na wenzie walikuwa wanatulea sana kwenye sebule zetu miaka hiyo.
Ni Kweli,alilazwa hospital ya Temeke.Kama kweli apumzike Kwa amani
Umeanza kuangalia kideo lini mzee?Mi nawachanganya na yule anapenda kusema mwe mwe mwe
Kweli kabisa, kipindi anaumwa hatukuwasikia ,sasa amefariki wanajifanya wanamjali .Unafki time sasa
Ngoja tuwasikie wanafki sasa
Ova
Mzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na Msanii wa Filamu, Vincent Kigosi “Ray” na taratibu za mazishi zinafuata.