Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Yaani hata baada ya kufungua soko la nje hawapati faida?Kinacho wagharimu wakulima wapo kimya hawasemi ukweli kama hakuna faida wanazopata
Serikali inawaangalia wakulima wakubwa wakubwa tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo wasaidiweje