Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Walio wengi huo utashi hawana,wanaendeshwa na madalali.Wakulima wasubirie hadi huo wa nje uishe ndipo wauze. Mchele hauozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walio wengi huo utashi hawana,wanaendeshwa na madalali.Wakulima wasubirie hadi huo wa nje uishe ndipo wauze. Mchele hauozi
Wanaoumia sio wakulima ila ni matapeli wanaojificha nyuma ya mgongo wa mkulima..
Hayo makapi unakula kwa hiari yako kulingana na bajeti iliyopo mfukoni mwakoKwa hiyo kwako bora tuanze kula makapi ya bei rahisi, umenikumbusha wale sangara na sato wa ziwa Victoria waliokuwa wakipandishwa ndege kwenda ulaya, huku wabongo tunakula mapanki, hakika tumeshazoeshwa kula mitumba, afya kwetu sio issue tena, muhimu tumbo lijae!.
WabadilikeWalio wengi huo utashi hawana,wanaendeshwa na madalali.
Upo sahihi kabisa nakuunga mkono mpaka mguu, wakauze michele yao huko kenya na sisi tutanunua michele ya kutoka huko Thailand.Mtajua wenyewe. Nyinyi mnaona sawa kutuuzia kilo ya mchele kwa shilingi 3600! Si mlifurahia soko kufunguliwa, na hivyo kuuza chakula chenu nje ya nchi kwa bei mnayotaka!!
Sasa inakuwaje mnaanza tena kupagawa mchele kuingizwa nchini? Si ndiyo soko huria lenyewe hili!!! Nyinyi nendeni mkauze mchele wenu nje ya nchi kwa bei kubwa, na sisi tutanunua huo mchele wa kutoka nje kwa bei nafuu.
Ni wakati sasa wa kila mtu kushinda mechi zake. Msianze kulia lia hapa.
Waache kufanya figisu, hizo ni chama za wafanyabiashara wa mchele, hule mchele wa thailand upo gud tu hauna kelele wala ngebe."Msije kutuletea tena ule wa Thailand Nusu kilo manakula watu 18 na unabaki kiporo cha chai"🙌.......pitia Account za Instagram na Facebook za ITV zilizopost hii taarifa usome maoni utajifunza vitu vingi sana. hiyo ni moja ya comment
Mbona ameagiza kidogo angeongeza na kufika tani laki mbili.Mshapaniki tayari! Mtashusha tu bei, mtake msitake. Hamuwezi kutuuzia mchele kilo kwa shilingi 3600!! Hui ni uhujumu uchumi.
Na aliyeagiza hizo tani elfu 90, nampa pongezi za dhati. Na naamini atakuwa siyo yule kilaza Hussein Bashe.
Waharakishe hali ni teteBora walete tu
Waharakishe hali ni tete
Najua sio mtamu but utaleta ushindani wa beiJe utakuwa mtamu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]"Msije kutuletea tena ule wa Thailand Nusu kilo manakula watu 18 na unabaki kiporo cha chai"[emoji119].......pitia Account za Instagram na Facebook za ITV zilizopost hii taarifa usome maoni utajifunza vitu vingi sana. hiyo ni moja ya comment
Kinacho wagharimu wakulima wapo kimya hawasemi ukweli kama hakuna faida wanazopataHapa tatizo sio wakulima,tunawaonea sana wakulima. Tatizo ni hawa watu wa kati..madalali na walanguzi, tena humo humo wamo hadi wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa.
Sio rahisi Mkuu, hii imefanyika ku rescue mfumko wa bei tu.Unadhani hawataomba tena?
Ukiongea na watu sokoni wanaunga mkono hoja ya kuleta mcheleSio rahisi Mkuu, hii imefanyika ku rescue mfumko wa bei tu.
Baada ya hapo hakuta kuwa na hilo tena Mkuu
Wengi wanalalamikia bei kubwa ya mchele tuUkiongea na watu sokoni wanaunga mkono hoja ya kuleta mchele
Kapange upya hoja zako ndipo uandike. Sasa hiyo Bei uliyoweka ni kwa Kilo, Gram au Tonne? It's a vague commentWakulima ndio wameamua kujidharau,bila kuwa na chombo Chao Cha sauti wataisoma namba.
Mwaka huu mchele shambani tutanunua 20,000 Hadi 25,000 na hapo ndio mkulima atakoma