Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo:
1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali.
2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha kushangaza hata makarani nao wamefunga zoezi kinyume na sheria ,wamefunga saaa kumi na nusu badala ya kumi na mbili.
3.hamasa ndogo ya uandikishaji , ni watu wachache sana wamejitokeza kujiandikisha kwa sbb ya uwepo ndogo wa hamasa. 4. makarani kukosa uwadilifu na uwajibikaji .Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist Gabeji.