Chalaboy kula tanohata kama chalamila ni kiroporopo lakini kwenye hili alitumia busara nzuri kutokana na ujenzi wa miundo mbinu kumekuwa na changamoto kubwa sana ya foleni na kwa kuwa mwendokasi haujaanza kazi kwenye njia husika inasaidia kupunguza foleni.
Naongelea katika mamlaka za nchi yetu ya TanzaniaMkubwa Mungu
Mambo kama ya Mnara wa Babeli......Ufalme uliofitinika
Hapo lazima chatu aliwe na kichecheKicheche kagusa kifua kipana cha mkwe.. !! Sijui itakuwaje ?
Ubora ni kwa kifua kipana au kwa uchafuzi bora wa sirikali za kitaaa?All in all Mchengerwa ni kati ya mawaziri bora ktk hii nchi anapenda haki. Kuna yule wa kilimo na yule mwenzake wa maji binafsi huwa sioni wanachokifanya. Waziri wa kilimo unaongelea mbolea mbolea huku ukijua nchi haina uhakika wa mvua ona kinachotokea sasa hivi kwenye maeneo mengi wakulima wanalia hakuna mvua. Kilimo cha umwagiliaji ndio suluhisho visima virefu vichimbwe umwagiliaji ufanyike hata kwa kuanza na wilaya chache na uwe mpango endelevu na ikiwezekana wakulima watozwe fedha baada ya kila mavuno.Mtu amekomalia mbolea mbolea hata wameweka mbolea mashambani mahindi yamekauka wafanyeje? Wa maji naye naona hana mikakati ni ukali tu.Nawaomba muwe mnakwenda kupata uzoefu wa mipango kutoka kwa Comrade ANTHONY MTAKA yeye huwa anafanyaje mambo huwa yanakwenda vizuri bila kutumia nguvu nyingi
Dah long time hii pini ya mgambo..niaka ya 2003/20004/2005 balaa sana. Nimecheka.hii tunaita migambo wanaruka na kukanyaga. mwenyw kibao hicho cha Juma Nature aweke
Wakiunda bond unakimbilia wapi wakati huo?Wachawi wakigombana nenda shambani ukalime
Samia alikosea kumpa ukuu wa mkoa chalamila.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi).
Video: Habari Digital
Sasa ujue wote wenye mawazo kama yako ndio wa hovyoo.Waziri mwingine wa hovyo ni wa ujenzi, na yeye alitaka magari binafsi yapite kwenye njia ya mwendokasi. Hafai kabisa
Mkuu wa mkoa yuko chini ya wizara ya Tamisemi ambayo Mchengerwa anaiongoza.Kwani waziri na mkuu wa mkoa yupi mkubwa kinafasi, najua wote ni wateule wa Raisi
Sio kweli kwa mwenye kufanya tathimini kwa mazingira yetu yachawa na uchawa na kibongo bongo ni afadhali chala boy mara mia kuliko konda boy au hata kifua kinene boySamia alikosea kumpa ukuu wa mkoa chalamila.