Mchengerwa hutokuwa Waziri milele. Napinga kauli zako za Kibabe kwa Watumishi

Jeuri itaisha mama mkwe akitoka madarakani, kwahiyo yupo yupo na jeuri ubabe na kiburi kitaongezeka. untouchable
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .

Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.

View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533
 
Nimesoma ulichoandika sijaelewa unachomlaumu pamoja na kwamba umetuma hzo picha,Hv unamsema mchengerwa au kuna mtu mwingine kaka,naomba kwa busara tu,utufafanulie please.
 
UVCCM msiwaache Salama wanaobeza Mafuriko ya Rufiji
 
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya kirahisi sana .

Wewe kuwa kiongozi kusikufanye udharau hata waliokuzidi umri na Elimu. Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana na hasa hivi vyeo vya mbeleko, ni muhimu sana kutumia lugha ya Staha unapotoa maelekezo, iko siku utawekwa benchi urudi kwetu vijiweni.

View attachment 2843529View attachment 2843532View attachment 2843533

Nataman sana kujua historia ya huyu jamaa na kielimu pia
 
Back
Top Bottom