Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
Anacheza na beat 🪘 kikubwa kura zipatikane, ndio mwisho wa kufikiri kwao
 
Yaan huyu Waziri hovyo kuwahi kutokea, anabebwa na ma mkwe wake.
Mxxxiiiieeew.
 
Wanajificha katika kichaka cha uzaramo

Wapo wandengereko kwa mfano:-
1. Mboso (msanii)
2. Marioo (msanii)
3. Samata (mchezaji mpira)
4. Sheikh kipozeo
5. Alhaj Sheikh musa
6. Marehemu Prof. Mtulia
7. Dr Dau ana asili ya rufiji na Mafia

Wapo wengi sana mkuu.
 
sisi wazaramo hatutaki mambo mengi , studio, vigodoro ,vinatutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…