Mchengerwa ni Waziri wa Bahati Mbaya kuwahi kutokea katika Wizara ya Michezo Tanzania

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup.

Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
 
Nasubiri andiko lako kuhusu CEO alisusa mkuu please fanya jambo
Msubirini GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' akitoka katika BAN yake atakuja nalo ila Mimi MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sina ninalolijua.
 
Ban yake inaisha lini?
 
Basi unajiona mwenyewe mjanja! Unacheza tu na akili za mods. Wakikupiga ban kule, unaibukia kwingine.
 
Msubirini GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' akitoka katika BAN yake atakuja nalo ila Mimi MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sina ninalolijua.
Unajitekenya n kujichekesha mwnyw
Uzuri hii Id huwa haina matusi.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom