Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Mkuu inaonekana kwenye life maisha ushayapatiaa ,hvyo ukikaa ukiwaa unaandika hizi story zako uwa uwazii vtu vngii ndio maana ukoseagiii na unagaa itaendeleaaaaa.....big UP sana..LIPO LA KUJIFUNZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe unaandika vitabu?
 
Tatizo Hana Shukran,
Leo utafanya hiki, Ila mkigombana kdg atasema "wee mwanaume Ni bure kabisa, huna msaada wowote kwny maisha yangu"

Endelea basi na story
Ila mama J ana vituko kama rafiki yangu hivii mmoja
 
Mkuu,
Mi namsaidiaje mwanamke wa namna hii
Hapa nakwambia namtakia mema Sana,

1. Nmejaribu Kamfungulia biashara,nmejaribu kumcoach aende vizur, majibu yake nisimuingile kwny biashara yake. Mi sio mzazi wake.

2. Nmemjengea kaanza ngebe Kama vipi tuachane, ujenz unaendelea. Ikabd nyumba irudoshwe kwa wife

3. Pale anapoishi Kodi nalipa mm, na kila kitu changu. ila akikasirika kdg utaskia
"Sitak nikuone kwangu,Rudi kwa mkeo"

4. Nikikosa Ela labda aliomba mambo hayajakaa vizur,masimango ya kila Aina
Atanilinganisha na maex wake wa kila aina

5. Akikasirika anatukana matus hadi ya nguoni, hadi mzAzi ananitukania.baadae anasema usiyarudie yalishapita alikua na hasira

6. Kuna siku alinitukania mzaz,hasira nikapiga mpk tukafikishana polisi nikalipa pesa kibao kuzima ile kesi isimfikie wife

Ni mengi ,Ni mengi sana mkuu.....
Huyu mwanamke usimtee tuu mkuu,

Nikikupa ukae nae hata mwezi Kama una roho nyepesi unamuua au unajiua.

Fikiria niliwahi mnunulia Simu kwa 760k,
Hatukukaa Sana Tukagombana mwezi mzima hatuongeleshani.

Tuliporudiana nikakuta kahamia kwny infinix, kuuliza ile Simu vipi, akasema aliiuza laki 3 aliishiwa hela ya kula.
Eti nategemea angeishije na Ela ya kula niliacha kumpa.

Yaan Kuna vitu vinatia hasira saa mkuu.

Usipende kumtete Sana huyu Mwanamke [emoji26][emoji3525]
 
Piga chini ili apate kichaa mwenzake wakazae.
Unamng'ang'ania wa nini?.

Namna bora ya kumsaidia acha kumhurumia anapojileta
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Demu wa hovyo sana mama J
 
Tatizo Hana Shukran,
Leo utafanya hiki, Ila mkigombana kdg atasema "wee mwanaume Ni bure kabisa, huna msaada wowote kwny maisha yangu"
Sasa si ushajua ni kichwa maji na roporopo unahangaika nini na lecture zako?
Hlf mtu Mwenyewe siyo mke ni mchepuko
 
Amna Mali apa pisi Ina tabia mbovu sana
 

Mkuu wewe ni mwamba [emoji1430][emoji1430]

Ila toka mama J aanze kuachiwa kodi ya meza imeshafika bei ya Fuso [emoji3]
 
DeepPond Polisi amewauza na ana tamaa..
Gharama za usumbufu analipa mwizi wa simu na sio ninyi. Hata kama ile 50 mngetoa mwizi angerudisha. Yani mlipaswa mkutanishwe na mwizi wenu ili mumpatie dau lenu la usumbufu awalipe. Sasa polisi anakula milion na bado awalipishe tena jamani?
Nishapoteza simu nikaipata kupitia njia yenu mliyotumia. Alinilipa zaidi ya laki 7 (usumbufu na gharama za kamata kamata)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…