DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #181
MamaJ ananyota ya Ela Wewe,Bro kwa upendo tu nikwambie...
Anguko lako kimaendeleo laweza kuanzia kwa mama J.
How?
When?
Siwezi kusema lkn tunza hilo neno
Hizo misemo Mbona nishazoea,
Huyu hata nitumie vipi pesa, madili ya hell yanatoririka Kama kawaida.
Tena ndo nikiwa mbali nae huwa nahisi nayumba, sijaconfirm maana sio muumini sn wa Hizo imani. Ila nahs Kuna kitu flan ndani Yake akiwa na Mimi.
Napoteza Sana pesa,Ila huwa zinarudi TU
Na kila mwaka nafanya maendeleo Sana na wife kupitia mgongo wa mamaJ.
Ndani ya miaka 4,
Nna nyumba 3 zangu binafs na Moja nmekarabati kwa 85% kule ukweni kwa wife.
Hamna mwaka nmewahi kurudi nyuma kisa mamaJ, ananifrustrate Sana ila maendeleo yangu sijaacha kufanya.
Na January hii Kuna sehem nafyatulisha tofali 4500 kwa ajili ya project flan hivi inshallah nikipata pesa mbeleni nitaifanya.