trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Jitahidi basi as repayment kwa goodsex anayokupa mfundishe maisha ya kujitegemea. Mfundishe polepole kimahaba angalau afunguke kidogo anatia huruma.Mkuu,
kwa akili hii nikimuacha sahv ndo atapotea kabisa,maana hajui aanzie wali aende wapi.
Afu kingine mi hata skuhz simzingatii Sana,mara kibao TU yeye ndo husema
"Kama vipi tuachane" najibu "POA"
Nakata huduma na mguu kwake,
Akikaa TU hata mwezi hatoboi lazima anitafute kusema chochote Cha kupika nyumbani.
Nikimtumia na nikaenda,
Penzi ananipa Kama kawaida na tunarudiana.
Anasema hana hata cha kupika nyumbani while kila siku anapata posho kazini. Ajifunze bajeti na akiba. Pia abadilike tabia yake hiyo [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]