Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Wakati kwa jinsi unavyomuelewa angenunua hata kiwanja aanze kamsingi ungemsapoti sana.
Mtu ana kazi, ana posho ya kazini 10k kila siku nje ya mshahara na bado anapewa na mchepuko 10k kila siku ukijumlisha sio chini ya milioni kwa mwezi, hana mtoto wa kusema anahudumia, hatoi hata mia ya kodi angekuwa mbali sana.
Labda kama anafanya maendeleo kwao kimya kimya bila kukwambia. Hapo utakuta bado ana vidili kazini vinampa hela za ziada.
Kama hafanyi chochote basi kuna kiti hakipo sawa kwake kabisa.
Sasa halaf unataka umlaumu Dp jamani anafanya sehemu yake mbona ,kwa wanaume wa kibongo DP anajitahidi mno kuna watu hawajali kabisa hawahudumii