Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu amstaafishe huyo binti for good.Atakuwa hana mpango wa kuwa na familia yake
Mimi naona anamharibia future zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu amstaafishe huyo binti for good.Atakuwa hana mpango wa kuwa na familia yake
Sister kumbuka kila Mara nasema nna mpango wa kumuoa, Sema tatizo tabia zake kujirekebisha Ni Changamoto.Ukishasema mume ni habari nyingine mkuu hapo hata akikuachia 3000 haina shida. Ila kumbuka huyu sio mume ni mchepuko ambae anamtumia kutoa tendi karibia kila siku kuliko hata mke wa jamaa.
Hata ukisema upige mahesabu kwa miaka 10 bado hailet sense kabisa. Huyo dada apate tuu akili ya kujiongeza lasivyo usiku utamfikia kapotezewa muda, maisha na hata familia hana.
Huyo binti ni aina ya watu wanaiishughulikia leo na wakisema kesho itajishughulikia yenyewe.Ukishasema mume ni habari nyingine mkuu hapo hata akikuachia 3000 haina shida. Ila kumbuka huyu sio mume ni mchepuko ambae anamtumia kutoa tendi karibia kila siku kuliko hata mke wa jamaa.
Hata ukisema upige mahesabu kwa miaka 10 bado hailet sense kabisa. Huyo dada apate tuu akili ya kujiongeza lasivyo usiku utamfikia kapotezewa muda, maisha na hata familia hana.
Kodi anamlipia ,kazi kamtafutia mengine nae ajipangeRoho nzuri kumuachia 10k kweli?? Lakini kwenye shida anajitoa pembeni ukiona katoa pesa basi yupo kunywa nae pombe.
Kumbuka huyu ni mchepuko sio mpenzi wa malengo DP inabidi ajue kwamba mama J hawezi mtreat kama mke wake anavyomtreat sababu mke ana assurance yupo ndoani.
Hata hiyo kazi aliyomtafutia wakizingua anamharibia hapo kuna roho nzuri kweli au kumfanya mwenzie sex slave kwa 300,000 kwa mwezi??? Tena sex ambayo karibia kila siku anatoa.
Ukisoma stori zake hakuna cha maana alichomfanyia ambacho hata kesho na kesho kutwa wakiachana mama J atabaki nacho ndio kwanza ataanza upya.
Kwa kauli hiyo ulikuwa muda sahihi wa kumwacha.Sister kumbuka kila Mara nasema nna mpango wa kumuoa, Sema tatizo tabia zake kujirekebisha Ni Changamoto.
Nnakaa na mtu,
ugomvi kidg tu anatishia Kama vipi tuachane, mara wanaume wako wengi.
Kama Kuna siku nilimwachia elfu 5 na kila kit kilikuemo, kakasirika na kasema Kama Huna pesa za kunihudumia Sema wanaume wenzako wakusaidie.
Ile kauli iliniuma Sana mpk nikaja kuleta Uzi humu jf. Maana nikijiona Kama Niko na mtu Ila siku nikiwa siko vizur zinazuka kauli ngumu ngumu na za kukatisha tamaa.
Pole sana changamoto kwenye mapenzi zipo. Ukiangalia pande zote mbili wote mna mapungufu yenu.Sister kumbuka kila Mara nasema nna mpango wa kumuoa, Sema tatizo tabia zake kujirekebisha Ni Changamoto.
Nnakaa na mtu,
ugomvi kidg tu anatishia Kama vipi tuachane, mara wanaume wako wengi.
Kama Kuna siku nilimwachia elfu 5 na kila kit kilikuemo, kakasirika na kasema Kama Huna pesa za kunihudumia Sema wanaume wenzako wakusaidie.
Ile kauli iliniuma Sana mpk nikaja kuleta Uzi humu jf. Maana nikijiona Kama Niko na mtu Ila siku nikiwa siko vizur zinazuka kauli ngumu ngumu na za kukatisha tamaa.
Du...kweli ulikomaa!!BAADA YA SIKU 2 ZA DEADLINE KUPITA
Ikaongezeka siku ya 3 bado kimya, ikabd nitafte watu wangu wa karibu wanaoweza kuipush ile Simu haraka haraka nipate pesa nifanya mbo mengine.
Miongoni mwa wale Watu nikampata na bodaboda wa mamaJ na kumwambia nna Simu yangu samsung imetulia naipush kwa 350,000, nnachotaka nipate tu 250,000 nitaftie mteja wa haraka haraka jamaa. Akasema POA. Kisha nikamtuma picha zake WhatsApp Kwny Simu ya rafki yake.
Hatukukawia Sana,
Siku 3 mbele kanambia kuna sista mmoja mteja wake sana anaitaka, anayo 250,000 ila kamwambia anauza 350,000 mimi nikomae mwisho 300,000 ili apate ya maji.
MDA si mrefu atampa Simu mbele yake ili niongee nae tukubaliane bei. Nikasema sawa. Mpelekee Simu.
Kwny Simu, dada akasema Simu kaipenda ila 350,000 Hana. Nikamuuliza IPO Bei gan sasa.
dada akasema ipo 250,000 tu.
Nikamwambia hiyo Simu, sista kwa 250,000 haiendi maana bado mpya Kama unavoiona imetumika mwezi tu na Dukani Ni 650,00. Hiyo simu bei yake mwisho 300,000. Naiuza TU kwasababu nmenunua Simu nyngn Kali Zaid ya hiyo.
Basi Sista akaomba kuja kuikagua, nikamwambia boda uyo uyo akulete uikague. Basi boda akamleta yule dada dukan kuikagua Simu, kaipenda kaomba apunguziwe na Tukakubaliana mwisho 280,000. Sista kalipia 280,000. Kisha wakaondoka na boda.
Baadae boda kanipigia nampozaje maji yetu Yale, nikamwambia aje dukan, kaja na nikampatia elfu 30 yake Kama Cha juu maana tulishakubaliana tangu mwanzo kua mimi nahitaji top top 250,000 TU. Itakayozid ya kwake. Nikampatia akaondoka na Maisha yakaendelea.
Sasa Juz mamaJ kanipigia analalamika kwamba Mimi mwanaume sifai hata kidg, inavoonekana nafurahia matatzo yake. Haiwezekani Simu ilioibiwa dukan kwake nmeikomboa na nmekwenda kuiuza kwa boda wake kwa 280,000.
Akalalamika kua anawasiwasi Mimi huenda ndo nmetuma Watu waibe ile Simu ili niiuze nipate faida, mwanaume gani Sina utu nnaangalia fedha TU, sijali anapitia kipind gan, nayatumia matatizo yake kujinufaisha kiuchumi maana polisi anajua niliikomboa kwa 180,000 afu anashangaa anamkuta nayo boda na kumwambia alinunua kwangu kwa 280,000. Nnapenda Sana Ela na hazitonifikisha popote.
Ikabd kumfahamisha kua tusileteane mapenz na masihara kwny maswala ya pesa. When am talking abt business, namaanisha kweli am in business. Nilikupa deadline na ukashindwa kuitekeleza. Kwahyo sikua na namna Zaid ya kuiuza na kurudisha pesa zangu.
Na namshkuru mungu na faida kdg ya mafuta na usumbufu zile nenda Rudi nmepata. Kwahyo wee lalamika tu mpk uchoke,ila jua tayar Simu yenywe ishauzwa na haiwez kurudi tena.
Kanunue Simu nyngn mpya Kama ulivyoahidi. Basi nikamkatia Simu.
Ikabd Sasa kumpigia boda imekuje Simu ile kakutwa nayo na mamaJ na iliuzwa kwa yule sista, akasema alikua amempakia kwny pikpik aliposhuka kwake kupokea simu ya mteja mwngn akaiona na kumwambia Simu nzur Katoka kwny kitochi lini, aliipenda Sana ,kainunua wapi,ndo akasema nmeinunua kwangu. Kisha ikaisha hivyo.
Boda Akakiri kua alinidanganya TU, ile Simu aliipenda sana na alikua ananunua yeye na sio yule sista.
Nikamuuliza ilikuaje Sasa, akasema alimtuma TU yule mdada pisi Kali akiamini atapunguziwa Bei zaidi. Kuliko akiinunua yeye mwnyw km mwanaume.
Nikamuuliza Sasa Mbona Bei niliuza ile ile 250,000 Nilokwambia mwanzo, si ungenunua ww mwnyw Moja kwa Moja kwangu kuepuka usumbufu.
Akasema alitegemea kwasababu Ni pisi kali labda ile 250,000 nayo ingeshuka zaidi ya hapo.
Akaongezea kua,
Alivoona sijatetereka sn kwny kuiuza kwasababu ya yule pisi kali ikabd ampe tip dada kua inunuliwe hivyo hivyo waondoke kunasehem anawahi na yule dada alikwenda kumpoza kwa elfu 5 uko mbele ya safari. Basi nikasema haina shida. Fresh. Tukaagana nikakata Simu.
Sasa Jana usku nmeenda kwake,
Kaninyima hadi penzi,kanuna balaa kisa suala Lile la Simu niliyouza. Nilichomwambia yeye anune awezavyo mpk apasuke, Tisiingize mahaba kwenye masuala ya pesa na biashara.
Pesa za biashara hazitakiwi kuchanywa na pesa za mapenzi.
Ili tufike mbali lazima Tuheshimu makubaliano.
HIVI VITU VIWILI HAVIWEZI KUCHANGANYIKA HATA SIKU MOJA.
Basi Baada ya kumwambia hivyo,
Nikavaa nikamuachia posho Yake na kuondoka zangu kuelekea nyumban kwangu.
########mwisho#####
NAWASILISHA WAKUU[emoji1431]
Mkuu,Elfu kumi, kumi na tano unaiona ndogo kwa kuwa inatolewa kila siku ila hupigi hesabu huyo jamaa anateketeza kiasi gani kwa mwezi na mwaka kwa huyo mchepuko?!!
Hizi akili ndio huwa zinawafanya wanawake wanagongwa na mtu anayetoa elfu 30 ya pamoja huku akimdharau mumewe anayemuachi elfu 10 kila siku.
Mtaani kuna wanawake kibao wanaomba walau wapate watu wa kuwaachia sh 2000 kila siku na hawawapati sembuse 10000.
Nsi..im..il.ia na..ma🤣Komwe langu limekukosea nini wewe dada
Kwenye 50k alizingua😅Nnachocheka ni kwamba na posho kila siku unamwachia😅 natamani kujua ni sh ngapi ya posho ila elfu 50 unakaza
Ndio shida ya sisi wanawake vitu vidogo vinatutoa utu, kodi unaweza kuta ni 150k au 200k. Ambayo kwa kazi yake angejitafutia nyumba affordable akaishi na kulipa kodi mwenyewe.Kodi anamlipia ,kazi kamtafutia mengine nae ajipange
Kodi pale anapokaa nalipa 120,000 kila mweziNdio shida ya sisi wanawake vitu vidogo vinatutoa utu, kodi unaweza kuta ni 150k au 200k. Ambayo kwa kazi yake angejitafutia nyumba affordable akaishi na kulipa kodi mwenyewe.
Mwisho wa siku pia tusimlaumu DP sana sababu anadeserve mtu miaka nenda rudi unashindwa kujiongeza yeye ana kazi kila siku anapewa hela ya kula,mshahara wake anapeleka wapi??
Ndio maana hata DP anamchukulia poa, kumbuka kuna mchepuko ni fundi cherehani tuu ila kajiongeza mpaka huwa anasifiwa humu pamoja na kwamba hatoi mzigo sana ila kashasaidiwa mambo ya maana mengi.
Kwa komenti ya dadangu DejaneNdio shida ya sisi wanawake vitu vidogo vinatutoa utu, kodi unaweza kuta ni 150k au 200k. Ambayo kwa kazi yake angejitafutia nyumba affordable akaishi na kulipa kodi mwenyewe.
Mwisho wa siku pia tusimlaumu DP sana sababu anadeserve mtu miaka nenda rudi unashindwa kujiongeza yeye ana kazi kila siku anapewa hela ya kula,mshahara wake anapeleka wapi??
Ndio maana hata DP anamchukulia poa, kumbuka kuna mchepuko ni fundi cherehani tuu ila kajiongeza mpaka huwa anasifiwa humu pamoja na kwamba hatoi mzigo sana ila kashasaidiwa mambo ya maana mengi.
Yah! Khs fundi cherehanj,Una kumbukumbu nzur sn.Ndio shida ya sisi wanawake vitu vidogo vinatutoa utu, kodi unaweza kuta ni 150k au 200k. Ambayo kwa kazi yake angejitafutia nyumba affordable akaishi na kulipa kodi mwenyewe.
Mwisho wa siku pia tusimlaumu DP sana sababu anadeserve mtu miaka nenda rudi unashindwa kujiongeza yeye ana kazi kila siku anapewa hela ya kula,mshahara wake anapeleka wapi??
Ndio maana hata DP anamchukulia poa, kumbuka kuna mchepuko ni fundi cherehani tuu ila kajiongeza mpaka huwa anasifiwa humu pamoja na kwamba hatoi mzigo sana ila kashasaidiwa mambo ya maana mengi.
Mwendo wa kungonoka tu na maufundi ya kitandani lkn hawana maajabu katika mahusiano yaoDp mapenzi ila hauna mahaba kabisa
Hakika, halafu I guess huyu Dp atakua ni mwanaume mweupe ana kaujeuri flani hiviMwendo wa kungonoka tu na maufundi ya kitandani lkn hawana maajabu katika mahusiano yao
Mwanamke akiwa na character hizi mbili anakuwa mbaya na hatari zaidi ya nyoka.Sister mtanilaumu Sana,
Ila tambua hamna mwanaume bahili au katili kwa mwanamke mnyenyekevu.
Leo mamaJ utamfanyia Jambo kea kukitoa, kesho mkigombana kdg TU anasema hujawahi nifanyia chochote.
YAAN ugomv kdg TU mtu anafuta mema yote mazur ambayo uliwahi kumfanyia.
Kumbuka pale anapokaa Kodi nalipa Mimi,vitu vya ndani nanunua Mimi,pesa ya kula kila siku Nampa Mimi. Ila sio mara Moja au mara mbili tukigombana kidg ananifungia nje. Eti niondoke kwake nirud kwa MKE wangu hatak kuniona.
Nyuz kibao nishaweka humu,
Wengi wananidhihaki wanasema napoteza pesa huyu mwanamke ananitumia.
kuna kipind niliwahi nunua pagale ili nilimalizia ahamie, akawa anataka achangie mchanga, ili fundi apge plasta ili amalize haraka.
Kwasababu ya tabia Yake kill tukigombana ananifungia nje, nikasema ntajenga mwnyw aschangie chochote, akileta za kuleta kunifukuza kwny nyumba yangu ataondoka Kama alivyo na nguo zake.
Mchanga wake nikaita topper nyngn ikausomba na kwenda kuumwaga alikopanga (mpk leo hii upo pale ule mchanga)
Ujenz ule ulikwenda polepole mpk nmemaliza, bado finishing ndogo ndogo TU.
Baada ya kuumaliza,
Ikabd nyumba ile nikamuonya wife mamaG ajue kua nna nyumba nyngn. MamaJ ndotp ya kumjengea ikayeyuka mpk Leo hii.
Sasa mtu wa hivi unamsaidiaje dada angu.
Ni mengi Sana ya kukatisha tamaa ananifanyia mamaJ napotezea nikiamua kuandika hapatoshi hapa dada angu[emoji26]