Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume malipo yetu ni mbususu mwanamke akopeshwi pesa ili akulipe pesaBasi Ikabd kuitoa mfukoni na kumuonyesha live, mamaJ kashangaa na kuanza kunieletea mahaba mengi ya ghafla akinishika shika kidevu akinichum na kunisifia Mimi Ni mwanaume jembe, anajivuniankua na Mimi, hakuamini Kama ningeikomboa au ingepatikana tena.
Serious mkuu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Movie Fulani la kutishaBAADA YA SIKU 2 ZA DEADLINE KUPITA
Ikaongezeka siku ya 3 bado kimya, ikabd nitafte watu wangu wa karibu wanaoweza kuipush ile Simu haraka haraka nipate pesa nifanya mbo mengine.
Miongoni mwa wale Watu nikampata na bodaboda wa mamaJ na kumwambia nna Simu yangu samsung imetulia naipush kwa 350,000, nnachotaka nipate tu 250,000 nitaftie mteja wa haraka haraka jamaa. Akasema POA. Kisha nikamtuma picha zake WhatsApp.
Hatukukawia Sana,
Siku 3 mbele kanambia kuna sista mmoja mteja wake sana anaitaka, anayo 250,000 ila kamwambia anauza 350,000 mimi nikomae mwisho 300,000 ili apate ya maji.
MDA si mrefu atampa Simu mbele yake ili niongee nae tukubaliane bei. Nikasema sawa. Mpelekee Simu.
Kwny Simu, dada akasema Simu kaipenda ila 350,000 Hana. Nikamuuliza IPO Bei gan sasa.
dada akasema ipo 250,000 tu.
Nikamwambia hiyo Simu, sista kwa 250,000 haiendi maana bado mpya Kama unavoiona imetumika mwezi tu na Dukani Ni 650,00. Hiyo simu bei yake mwisho 300,000. Naiuza TU kwasababu nmenunua Simu nyngn Kali Zaid ya hiyo.
Basi Sista akaomba kuja kuikagua, nikamwambia boda uyo uyo akulete uikague. Basi boda akamleta yule dada dukan kuikagua Simu, kaipenda kaomba apunguziwe na Tukakubaliana mwisho 280,000. Sista kalipia 280,000. Kisha wakaondoka na boda.
Baadae boda kanipigia nampozaje maji yetu Yale, nikamwambia aje dukan, kaja na nikampatia elfu 30 yake Kama Cha juu maana tulishakubaliana tangu mwanzo kua mimi nahitaji top top 250,000 TU. Itakayozid ya kwake. Nikampatia akaondoka na Maisha yakaendelea.
Sasa Juz mamaJ kanipigia analalamika kwamba Mimi mwanaume sifai hata kidg, inavoonekana nafurahia matatzo yake. Haiwezekani Simu ilioibiwa dukan kwake nmeikomboa na nmekwenda kuiuza kwa boda wake kwa 280,000.
Akalalamika kua anawasiwasi Mimi huenda ndo nmetuma Watu waibe ile Simu ili niiuze nipate faida, mwanaume gani Sina utu nnaangalia fedha TU, sijali anapitia kipind gan, nayatumia matatizo yake kujinufaisha kiuchumi maana polisi anajua niliikomboa kwa 180,000 afu anashangaa anamkuta nayo boda na kumwambia alinunua kwangu kwa 280,000. Nnapenda Sana Ela na hazitonifikisha popote.
Ikabd kumfahamisha kua tusileteane mapenz na masihara kwny maswala ya pesa. When am talking abt business, namaanisha kweli am in business. Nilikupa deadline na ukashindwa kuitekeleza. Kwahyo sikua na namna Zaid ya kuiuza na kurudisha pesa zangu.
Na namshkuru mungu na faida kdg ya mafuta na usumbufu zile nenda Rudi nmepata. Kwahyo wee lalamika tu mpk uchoke,ila jua tayar Simu yenywe ishauzwa na haiwez kurudi tena.
Kanunue Simu nyngn mpya Kama ulivyoahidi. Basi nikamkatia Simu.
Ikabd Sasa kumpigia boda imekuje Simu ile kakutwa nayo na mamaJ na iliuzwa kwa yule sista, akasema alikua amempakia kwny pikpik aliposhuka kwake kupokea simu ya mteja mwngn akaiona na kumwambia Simu nzur Katoka kwny kitochi lini, aliipenda Sana ,kainunua wapi,ndo akasema nmeinunua kwangu. Kisha ikaisha hivyo.
Boda Akakiri kua alinidanganya TU, ile Simu aliipenda sana na alikua ananunua yeye na sio yule sista.
Nikamuuliza ilikuaje Sasa, akasema alimtuma TU yule mdada pisi Kali akiamini atapunguziwa Bei zaidi. Kuliko akiinunua yeye mwnyw km mwanaume.
Nikamuuliza Sasa Mbona Bei niliuza ile ile 250,000 Nilokwambia mwanzo, si ungenunua ww mwnyw Moja kwa Moja kwangu kuepuka usumbufu.
Akasema alitegemea kwasababu Ni pisi kali labda ile 250,000 nayo ingeshuka zaidi ya hapo.
Akaongezea kua,
Alivoona sijatetereka sn kwny kuiuza kwasababu ya yule pisi kali ikabd ampe tip dada kua inunuliwe hivyo hivyo waondoke kunasehem anawahi na yule dada alikwenda kumpoza kwa elfu 5 uko mbele ya safari. Basi nikasema haina shida. Fresh. Tukaagana nikakata Simu.
Sasa Jana usku nmeenda kwake,
Kaninyima hadi penzi,kanuna balaa kisa suala Lile la Simu niliyouza. Nilichomwambia yeye anune awezavyo mpk apasuke, Tisiingize mahaba kwenye masuala ya pesa na biashara.
Pesa za biashara hazitakiwi kuchanywa na pesa za mapenzi.
Ili tufike mbali lazima Tuheshimu makubaliano.
HIVI VITU VIWILI HAVIWEZI KUCHANGANYIKA HATA SIKU MOJA.
Basi Baada ya kumwambia hivyo,
Nikavaa nikamuachia posho Yake na kuondoka zangu kuelekea nyumban kwangu.
########mwisho#####
NAWASILISHA WAKUU[emoji1431]
Sahihi sana, mapenzi yenu na mama j ni kama dramaSerious mkuu,
Mtu mnadai mnapendana na kila Mara mnafanyana,ila inapotokea matatizo
Na linapokuja suala la pesa mwenzko,
kila mmoja anamvizia mwnzake.
Unawaza
Hivi nikitoa pesa Kwny mzunguko, au nikamkopea mahali hivi atairudisha Kweli huyu mwenzangu?[emoji848]
Simu ya laki moja unaweza kuja kuipoteza kwa gharama ya Milioni moja na Laki moja pale wazee watakapokuja kuichukua huku wakidai mwenye simu aliuawa kwenye tukio la ujambazi.Siku nyingi sana sijasoma post zako mkuu. Safi sana kwa kusimamia msimamo wako.Wanawake wengi wakikopeshwa pesa na wapenzi wao huwa hawalipi kwa kigezo cha kutoa mbunye zao. Next time atakuheshimu linapokuja suala la pesa.
Ila nakulaumu mkuu kwa kushindwa kuikomboa simu kwa elfu 50 ,ungelipa pale mama J alipogoma kutoa pesa then ungekuja kuiuza kwa pesa ndefu zaidi.
Funzo nje ya story, tuwe makini sana kununua simu za mikononi, simu ya laki moja unaweza ukaja kuinunua kwa milioni moja na laki moja.
Kindly leave this guy alone[emoji120][emoji23]DP haya matangazo bado tu hayajajaza PM mkuu. Maana unakoelekea sasa ni kujianika kutwa wewe ni mshindi punguza hizo mkuu.
#nikaushauritu
Ni kweli. Pale angeichukua kwa 50,000 angeweza kupiga 200,000 ya cha juu.Ndio uliuza kwa faida ila ulimiss ile first opportunity askari alivyoomba elfu 50 awalipe watu wa ICT
MDA huo Hata sikua na mawazo hayo ya kuiuza, Baada ya kuona narudishaje pesa yangu 180k nilotoka kulipa polisi afu mtu analeta ngonjera ndo nikaamua serious kuiuza.Ni kweli. Pale angeichukua kwa 50,000 angeweza kupiga 200,000 ya cha juu.
Inategemea na siku,Hio posho ya meza huwa Ni sh ngapi ? Zinalingana kila siku ama unavyojickia wewe ?
Mbona Kama unanunua penzi mkuu? Kila mkilala lazma umpe hela ?
Mm nnavyojua, Kama ameshakuwa mchepuko Kuna siku mnaweza kulala na usimpe chochote coz Mara apatapo changamoto anakujulisha na unaitatua sijui Kama nimeeleweka