Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ninamaanisha kuwa mpenzi wangu kabisa nisingeweza kugoma kumlipia hiyo 50k kwa kigezo chochote, hivyo najiona kumbe huwa napotezaHapp namba 1 sijaelewa umejiona vipi mjinga[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninamaanisha kuwa mpenzi wangu kabisa nisingeweza kugoma kumlipia hiyo 50k kwa kigezo chochote, hivyo najiona kumbe huwa napotezaHapp namba 1 sijaelewa umejiona vipi mjinga[emoji848]
Kumlipia halikua tatzo,Ninamaanisha kuwa mpenzi wangu kabisa nisingeweza kugoma kumlipia hiyo 50k kwa kigezo chochote, hivyo najiona kumbe huwa napoteza
Kuna aina tofauti za vimada/hawara/mchepukoHio posho ya meza huwa Ni sh ngapi ? Zinalingana kila siku ama unavyojickia wewe ?
Mbona Kama unanunua penzi mkuu? Kila mkilala lazma umpe hela ?
Mm nnavyojua, Kama ameshakuwa mchepuko Kuna siku mnaweza kulala na usimpe chochote coz Mara apatapo changamoto anakujulisha na unaitatua sijui Kama nimeeleweka
Posho aftatu 🤣Nnachocheka ni kwamba na posho kila siku unamwachia😅 natamani kujua ni sh ngapi ya posho ila elfu 50 unakaza
Na nadhan ndicho kilichotokea kwa aliekutwa na ile Simu. So sad, Ilimtoka milioni kwa haraka haraka [emoji26]Simu ya laki moja unaweza kuja kuipoteza kwa gharama ya Milioni moja na Laki moja pale wazee watakapokuja kuichukua huku wakidai mwenye simu aliuawa kwenye tukio la ujambazi.
😂😂😂😂😂 hoja no 2DeepPond
Katika stori yako nimejifunza mambo haya;
1. Nimejiona mimi ni mjinga sana kwani nisingethubutu kufanya kama ulivyomfanyia huyo binti.
2. Nimegundua huyo mama J hapo alipo hajitambui kuwa anapoteza muda na hajui kujiongeza vinginevyo alitakiwa akupige chini kitambo sana....unamtymia na kumlipa/ tendo.
3. Kwa misimamo hiyo katika mambo ya pesa utafika mbali..
......ninawasilisja...
Sasa unafikiri wewe kwake sio danga?? Si anajua kabisa wewe ni mume wa mtu na hutakuja kumuoa??Kumlipia halikua tatzo,
Ile haikua Simu Yake Wala ya duka lake
Bali ilikua simu ya mfanyakaz wake wa Dukan
Afu kugoma kumlipia ni mwendelezo wa yeye kila panapohitajika ela anasema hana Ela nitoe mimi na biashara anafanya kila siku.
Ni kwamba nilijua huyu anafanya kusudi Sasa,keshanichukulia danga flan linatoa pesa bila mipango
Tia neno kwa hoja no 2 mdogo wangu😅😂😂😂😂😂 hoja no 2
Khaaaa
Inategemea na siku,
Ila mara kwa Mara Ni elfu 10
Na sio kwamba nanunua penzi Bali Hata nisipofanya nae Nampa TU,
maana mamaJ nmemchukulia Kama familia yangu na nnawajibika kumtunza kila siku japo kazin kwake nilikomtafutia Mimi Kwny ofs ya rafk yangu najua ana posho ya elfu 10 kila siku na bado mshahara mwisho wa mwezi anapokea
Watoto wa kike mjiongeze.Sasa unafikiri wewe kwake sio danga?? Si anajua kabisa wewe ni mume wa mtu na hutakuja kumuoa??
Sema nashangaa kwanini Mama J anavumilia hayo wakati ana kazi nzuri anaweza jitegemea. Maana kuna visa vingine meseji unazomtumiaga tunaumia mpaka wasomaji.
Atakuwa hana mpango wa kuwa na familia yakeTia neno kwa hoja no 2 mdogo wangu😅
Roho nzuri kumuachia 10k kweli?? Lakini kwenye shida anajitoa pembeni ukiona katoa pesa basi yupo kunywa nae pombe.Safii una roho nzuri sana
Umeongea point murua kabisa,Wanawake wachache mno ndio wanaielewa saikolojia ya mwanaume.
Wanaume huwa hatupendi kufanywa wajinga/mabwege. Kiasili mwanaume ndie mtoaji wa pesa kuliko mwanamke ila sometimes unataka uone response ya mwanamke tu kama kweli anakujali/kuthamini..unaweza kumjaribu ukamuomba japo elfu ishirini ili hali wewe umeshampa hata 5M....ukimuona anakwambia kuwa hana pesa jua kuwa huyo anakutumia tu ,huna thamani mbele ya macho yake . Infact unaweza kuzimia kama Haji manara na asikunyanyue. So ni vyema ukatemana nae tu.
Mwanamke anaekuthamini hatasita kukupa pesa ndogo uliyomuomba kwani anajua kuwa unampa zaidi ya kile ulichomuomba. Ndio maana wengine wanafikiwa kujengewa hadi majumba na madanga yao kutokana na wao hawaoni tabu kutoa hata laki tano kumfanyia shopping danga lake in return anakuja kupiga kizinga hata cha milioni 2-3 na unampa cuz nae ni mtoaji.
Elfu kumi, kumi na tano unaiona ndogo kwa kuwa inatolewa kila siku ila hupigi hesabu huyo jamaa anateketeza kiasi gani kwa mwezi na mwaka kwa huyo mchepuko?!!Roho nzuri kumuachia 10k kweli?? Lakini kwenye shida anajitoa pembeni ukiona katoa pesa basi yupo kunywa nae pombe.
Kumbuka huyu ni mchepuko sio mpenzi wa malengo DP inabidi ajue kwamba mama J hawezi mtreat kama mke wake anavyomtreat sababu mke ana assurance yupo ndoani.
Hata hiyo kazi aliyomtafutia wakizingua anamharibia hapo kuna roho nzuri kweli au kumfanya mwenzie sex slave kwa 300,000 kwa mwezi??? Tena sex ambayo karibia kila siku anatoa.
Ukisoma stori zake hakuna cha maana alichomfanyia ambacho hata kesho na kesho kutwa wakiachana mama J atabaki nacho ndio kwanza ataanza upya.
Sister mtanilaumu Sana,Roho nzuri kumuachia 10k kweli?? Lakini kwenye shida anajitoa pembeni ukiona katoa pesa basi yupo kunywa nae pombe.
Kumbuka huyu ni mchepuko sio mpenzi wa malengo DP inabidi ajue kwamba mama J hawezi mtreat kama mke wake anavyomtreat sababu mke ana assurance yupo ndoani.
Hata hiyo kazi aliyomtafutia wakizingua anamharibia hapo kuna roho nzuri kweli au kumfanya mwenzie sex slave kwa 300,000 kwa mwezi??? Tena sex ambayo karibia kila siku anatoa.
Ukisoma stori zake hakuna cha maana alichomfanyia ambacho hata kesho na kesho kutwa wakiachana mama J atabaki nacho ndio kwanza ataanza upya.
Ukishasema mume ni habari nyingine mkuu hapo hata akikuachia 3000 haina shida. Ila kumbuka huyu sio mume ni mchepuko ambae anamtumia kutoa tendi karibia kila siku kuliko hata mke wa jamaa.Elfu kumi, kumi na tano unaiona ndogo kwa kuwa inatolewa kila siku ila hupigi hesabu huyo jamaa anateketeza kiasi gani kwa mwezi na mwaka kwa huyo mchepuko?!!
Hizi akili ndio huwa zinawafanya wanawake wanagongwa na mtu anayetoa elfu 30 ya pamoja huku akimdharau mumewe anayemuachi elfu 10 kila siku.
Mtaani kuna wanawake kibao wanaomba walau wapate watu wa kuwaachia sh 2000 kila siku na hawawapati sembuse 10000.