trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Sasa mpendwa kwa scenario kama hii utamfananisha mama J na mama G?? Hata wote wakiwa wanaachiwa 5000 mama J hana chake kwa DP hata miradi yake hamshirikishi na hajui chochote zaidi ya starehe na bata.Hata huko waloolewa wengine wanaachiwa 5000 tu nao ni sex slave?au uchumi wa mme mbovu trudie
Mama G hata leo wakiachana ana advantage yake kwa mumewe ndio maana hata nyumba aliyomkarabatia mama J akazingua aliambiwa mke wake. While mama J ataanza upya maisha tena asivyojua bajeti atapata tabu sana ( ingawa sikuombei)