Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Wanaume malipo yetu ni mbususu mwanamke akopeshwi pesa ili akulipe pesa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Serious mkuu,
Mtu mnadai mnapendana na kila Mara mnafanyana,ila inapotokea matatizo

Na linapokuja suala la pesa mwenzko,
kila mmoja anamvizia mwnzake.

Unawaza
Hivi nikitoa pesa Kwny mzunguko, au nikamkopea mahali hivi atairudisha Kweli huyu mwenzangu?[emoji848]
 
Movie Fulani la kutisha
 
Sahihi sana, mapenzi yenu na mama j ni kama drama
 
Simu ya laki moja unaweza kuja kuipoteza kwa gharama ya Milioni moja na Laki moja pale wazee watakapokuja kuichukua huku wakidai mwenye simu aliuawa kwenye tukio la ujambazi.
 
DeepPond
Katika stori yako nimejifunza mambo haya;
1. Nimejiona mimi ni mjinga sana kwani nisingethubutu kufanya kama ulivyomfanyia huyo binti.

2. Nimegundua huyo mama J hapo alipo hajitambui kuwa anapoteza muda na hajui kujiongeza vinginevyo alitakiwa akupige chini kitambo sana....unamtumia na kumlipa/ tendo.

3. Kwa misimamo hiyo katika mambo ya pesa utafika mbali..

......ninawasilisja...
 
DeepPond
Katika stori yako nimejifunza mambo haya;
1. Nimejiona mimi ni mjinga sana kwani nisingethubutu kufanya kama ulivyomfanyia huyo binti.

2. Nimegundua huyo mama J hapo alipo hajitambui kuwa anapoteza muda na hajui kujiongeza vinginevyo alitakiwa akupige chini kitambo sana....unamtymia na kumlipa/ tendo.

3. Kwa misimamo hiyo katika mambo ya pesa utafika mbali..

......ninawasilisja...
 
Hio posho ya meza huwa Ni sh ngapi ? Zinalingana kila siku ama unavyojickia wewe ?

Mbona Kama unanunua penzi mkuu? Kila mkilala lazma umpe hela ?

Mm nnavyojua, Kama ameshakuwa mchepuko Kuna siku mnaweza kulala na usimpe chochote coz Mara apatapo changamoto anakujulisha na unaitatua sijui Kama nimeeleweka
 
Inategemea na siku,
Ila mara kwa Mara Ni elfu 10
Na sio kwamba nanunua penzi Bali Hata nisipofanya nae Nampa TU,

maana mamaJ nmemchukulia Kama familia yangu na nnawajibika kumtunza kila siku japo kazin kwake nilikomtafutia Mimi Kwny ofs ya rafk yangu najua ana posho ya elfu 10 kila siku na bado mshahara mwisho wa mwezi anapokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…