dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Itabidi mkuu dp akupatie utest mitambo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Demu wa hovyo sana mama J
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi mkuu dp akupatie utest mitambo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Demu wa hovyo sana mama J
I'la Kweli acha atoe ufafanuz kuhus Hilo swal lako pengine jamaa ameingizwa mjiniDeepPond Polisi amewauza na ana tamaa..
Gharama za usumbufu analipa mwizi wa simu na sio ninyi. Hata kama kle 50 mngetoa mwozi anherudisha. Yani mlipaswa mkutanishwe na mwizi wenu ili mumpatie dau lenu la usumbufu awalipe. Sasa polisi anakula milion na bado awalipishe tena jamani?
Noshapoteza simu nikaipata kupitia njia yenu mliyotumia. Alinilipa zaidi ya laki 7 (usumbufu na gharama za kamata kamata)
Sasa michakato SI mpk upate afande anaekujua, Kama hakujui tamaa Lazima ale uku na ukuDeepPond Polisi amewauza na ana tamaa..
Gharama za usumbufu analipa mwizi wa simu na sio ninyi. Hata kama kle 50 mngetoa mwozi anherudisha. Yani mlipaswa mkutanishwe na mwizi wenu ili mumpatie dau lenu la usumbufu awalipe. Sasa polisi anakula milion na bado awalipishe tena jamani?
Noshapoteza simu nikaipata kupitia njia yenu mliyotumia. Alinilipa zaidi ya laki 7 (usumbufu na gharama za kamata kamata)
Hizo habar za mwizi husika kulipa mil 1 tumekuja kuambiwa Baada ya kulipa pesa na tushachukua simu.I'la Kweli acha atoe ufafanuz kuhus Hilo swal lako pengine jamaa ameingizwa mjini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yani me nlifanyiwa na maadande sijuani nao kabisaaa. Ila sheria ndo hyo kama mnaamua kumalizana anatakiwa awalipe.Sasa michakato SI mpk upate afande anaekujua, Kama hakujui tamaa Lazima ale uku na uku
Sasa ukishajijua uko hivo Ni Bora usikope pesa kwake, tatzo la mamaJ anakopa afu akidaiwa anakua mbabe na harudishi.Mwanaume anayeni to mber siwezi kumkopesha hela maana sitaweza kuidai....naangalia kiasi nianchoweza kurisk nampatia. Pia mimi siwezi mkopa me wangu kwa maana sitarudisha kwakweli. Yani nitachukulia easy...instead huwa namuomba tu anisaidie kama anaweza.
Basi watakua maafande waadilifu.Yani me nlifanyiwa na maadande sijuani nao kabisaaa. Ila sheria ndo hyo kama mnaamua kumalizana anatakiwa awalipe.
Tena anayekujua ndo mzuri maana alipaswa awaambie process. Huyo ana tamaa au alikuona boss huna hadhi ya kupewa fidia ya tumilion au tulaki. Kwenye ile ambayo mngelipwa na mwizi ndo mngempatia shukrani hata ya 50 kulingana na ukubwa wa mpunga mliopewa
Ndo najitahidi abadilike ili nimzalishe, nimuoe ila inashindikana. Nmeamua kuacha Kama ilivyoHuyo dada usije zae kabisa atakuletea uzao kiazi, kiande,Kilaza wa kiwango Cha SGR.
Endelea kufaidi mbususu yake ila usije ukaweka mimba atakusumbua sana.
Anaonekana ni komando kipensi Inakubidi Sasa uwe shoziniga kweli kweli
....huu mwaka upo vizuri mkuu, naweka kambi hapa tena..! Ile ulichomfanyia shem alivyotaka mgawane mali nilipitiliza kituo cha basi.Habari wakuu,
Kuna siku Moja usiku nikiwa kwa mamaJ akanambia mchana wa Jana Yake, binti yake anayeuza dukani kwake kaibiwa Simu yake (Samsung smart phone) kwenye mazingira ya kutatanisha sana.
Anasema Hakukuwa na wateja alienda msalani chap nyuma ya fremu zao akaacha Simu chaji, aliporudi hakuikuta na kawauliza majirani wanasema hawakuona mtu akiingia ndani. Na Simu ilivyopigwa ikawa haipatikani.
Basi nikamshauri Kama Simu imepotea Ni Vema akatoe taarifa polisi, Unaweza kuzembea Simu yako imeibiwa kisha ikatumika kwenye uhalifu halafu ukaunganishwa kwny tukio la uhalifu. Akasema sawa, ataomba kesho nimpitie yeye na binti yake nnavyoenda kazini ili niwasindikize wakatoe taarifa ya kupokelewa simu polisi. Nikasema sawa.
Kweli kesho Yake asubuhi nmewapitia yeye, pamoja na binti wa dukani kwake dukani wote tumeongoza tumeelekea kituo cha polisi.
Baada ya kufika polisi, nikabaki kwenye gar na kumwambia yeye na binti wake waingie wakatoe taarifa watanikuta kwny gar nje nawasubiri tuondoke. Wakasema sawa. Sasa Baada ya kuona wamekaa ndan mda mrefu Sana hawatokei na mamaJ simu zangu hapokei, Ikabidi kumfata uko uko ndani ili afanye haraka ananipotezea Muda wangu nna Ratiba zangu nyingine. Nikamkuta ndo Yuko anatoa maelezo kwa afande.
Kuangalia Kumbe afande mwnyw tunafahamiana, kuna mahali flan tuliwahi kutana. Basi salamu za hapa na pale na afande Kisha Afande akanambia niketi amalizie kuandika maelezo Yao ili kuifungua kesi ya kuibiwa wa Simu, ili Kama uwezekano upo, simu yao ianze kufuatiliwa.
Basi nikaona ni wazo zuri. Afande akasisitiza kwamba mwizi wa Simu Hata akipatikana, Kama hakukuwahi kuwepo kesi polisi kwenye maandishi Ni ngumu Sana kumuwajibisha au kurudishiwa Simu yetu iliyoibiwa.
Nikasema sawa.
Na kingine, akasema Kama mwizi kaenda kuiflash ile kikawaida na imei number hajafanikiwa kufutika.
basi uwezekano wa kuitrack na kuikamata Ni mkubwa sana kupitia kitengo Chao cha ICT makao makuu.
Ila nao uko ICT wanataka Kwanza kesi iwepo kituoni kwny maandishi ndo waifanye kazi. Nikasema Basi wazo zuri Sana, fungueni kesi na Kama inawezekana ifuatilieni afu utanipa majibu afande tujue tunafanyaje.
Afande kasema POA, tukabadilishana mawasiliano na kumuacha afande pale kituoni. Binti karudishwa dukan kwa mamaJ , mamaJ nae kapelekwa kazini kwake, nami nikaenda kwenye shughuli zangu Kama kawaida. Siku ikaisha hivyo kwa utulivu.
Jioni yake nimeenda kwa mamaJ baada ya kufanya ya kufanya, nmeacha posho na nmeaga naondoka, mamaJ akaniomba nimsaidie nimtaftie binti yake Simu ndogo ya kutumia kwa MUDA, huku Simu ile iloibiwa ikiendelea kufuatiliwa na polisi maana bila mawasiliano dukani kwake kule Ni Changamoto Sana.
Nikamuuliza kwan ile Simu iloibiwa ilkuwa ya binti mwenyewe, Ni ya kwako au ni ya duka lako. Akasema ilikuwa ya binti mwenyewe binafsi. Nikamwambia basi ili siku nyingine awe makini, lazima umkazie na umwambie unamnunulia Simu ndogo ya kutumia itakuwa ya kwake manyw, ila mwisho wa mwezi ajue utamkata kwny mshahara wake ili awe makini next-time. Usipende kuendelea uzembe kazini, vitu vinapotea boss unalipa lipa TU kienyeji bila Kuchukua hatua, mfanyakazi wako atazoea na utapoteza vingn vingi zaid.
MamaJ Akasema sawa kanielewa, atamwambia binti. Nikamwambia kwakua Ni mambo ya dukan kwako, Simu ndogo ntanunua ila ntakukopesha, na pesa yangu mwisho wa mwezi ukipata mshahara unirudishie. Akasema haina shida nnachotaka Ni Simu tu kwanza, pesa italipwa.
Basi kesho yake kweli nmenunua Simu ndogo mpya ya Nokia 105 kwa elfu 40 na kumpeleka mamaJ, nikampa na risiti kuwa ntamdai elfu 40 yeye mwenyewe, hiyo simu akampatie binti yake wa dukani kwake aendelee na kazi. Akashukuru.
Ndo maana mama j alikomaaBasi watakua maafande waadilifu.
Hawa was huku michongo mingi, bure bure Simu yako unaipoteza kabisa.
Ulibahatika Sana aisee[emoji1431]
Ameona hela kubwa hutoi kizembe ndo maana anaingia kwa gia ya kukopaSasa ukishajijua uko hivo Ni Bora usikope pesa kwake, tatzo la mamaJ anakopa afu akidaiwa anakua mbabe na harudishi.
Anasahau kua Iyo pesa umeitoa mahali na unavuruga mzunguko
Kama mwanaume apo umepambana to the maximumKabisa mkuu,
Watu wanasema namtesa Binti[emoji4]