Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

DeepPond
Katika stori yako nimejifunza mambo haya;
1. Nimejiona mimi ni mjinga sana kwani nisingethubutu kufanya kama ulivyomfanyia huyo binti.

2. Nimegundua huyo mama J hapo alipo hajitambui kuwa anapoteza muda na hajui kujiongeza vinginevyo alitakiwa akupige chini kitambo sana....unamtymia na kumlipa/ tendo.

3. Kwa misimamo hiyo katika mambo ya pesa utafika mbali..

......ninawasilisja...
Naomba nisupport point 2. Mama J hajitambui. Atafujwa mpaka akome. Mwenzake anachekelea kutuletea mambedha huku ila yeye hamna kitu kichwani. Atakuja shtuka muda umepita sana..kiuno kishakongoroka na atakaemuoa pole yake..hata kama wanasemaga hainaga makombo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan imefkia hatua Nampa kile Cha ziada,
Pesa ndogo hata ukisema unamkopa harudishi, wkt pesa ndogo ndogo ndo inazaa Kubwa.

Kuna siku kalalamia anataka kulewa,
Niamwmabia Sina Ela, akalazmisha tukapate hata bia mbili TU achangamke.

Nikasema sawa,
Tumefika bar, anasomba vinywa anawapelekea mashoga zake wa meza jirani.

Bill imekuja pesa ndefu sn,
Nlifedheheka Sana mpk kuilipa maana mfukoni nilibeba fedha kdg
 
maisha hayana guaranteee,mtu unakuwa tegemezi mpaka kero;unaonekana hamnazo.
watu wasichojua ni kuwa umri hausogei nyuma,kuna mda sponsor atakata mrija sijui itakuwaje
 
Naomba nisupport point 2. Mama J hajitambui. Atafujwa mpaka akome. Mwenzake anachekelea kutuletea mambedha huku ila yeye hamna kitu kichwani. Atakuja shtuka muda umepita sana..kiuno kishakongoroka na atakaemuoa pole yake..hata kama wanasemaga hainaga makombo.
mamaJ Ni asipobadilika ni zigo la misumari, ana kauli ya kuomba, yeye kwake Ni amri, usipotoa ana kauli ngumu sana anatamka. Afu hajali chochote Wala impact ya Maneno Yake. Mdomo hauna breki.

kwa mwanaume mwenye roho nyepesi Unaweza kumuua au yakikushinda ujiue mwnyw
 
Tatizo la mamaJ unajaribu kumjengea uwezo ajitegemee Hawezi yeye anaendekeza starehe.

Ndo maana wengi wamelaumu mm kumkopesha au kugoma kulipia elfu 50.

Sio kwamba niligoma,
Haiingii akilini ,una duka, afu emergency inatokea duka linakosa akiba ya elfu 50.
Unabaki unajiuliza hili duka kila siku asbh-jion linafunguliwa, huwa wanauza pesa wanapeleka wapi wkt pesa ya kula kila siku ninampa.

Ujue kua vitu namkazia sio kwamba namkomesha,Bali kumfundisha asinitegemee aweze kujisimama mwnyw.
 
Yaan imefkia hatua Nampa kile Cha ziada,
Pesa ndogo hata ukisema unamkopa harudishi, wkt pesa ndogo ndogo ndo inazaa Kubwa.

Kuna siku kalalamia anataka kulewa,
Niamwmabia Sina Ela, akalazmisha tukapate hata bia mbili TU achangamke.

Nikasema sawa,
Tumefika bar, anasomba vinywa anawapelekea mashoga zake wa meza jirani.

Bill imekuja pesa ndefu sn,
Nlifedheheka Sana mpk kuilipa maana mfukoni nilibeba fedha kdg
Danga Lipoo na ashalimiliki kumuacha haliwezi....why mashosti wasijue kwamba danga lake ni fogooo
 
Naomba nisupport point 2. Mama J hajitambui. Atafujwa mpaka akome. Mwenzake anachekelea kutuletea mambedha huku ila yeye hamna kitu kichwani. Atakuja shtuka muda umepita sana..kiuno kishakongoroka na atakaemuoa pole yake..hata kama wanasemaga hainaga makombo.
Mambedha rae 🤣🤣🤣🤣🤣
 
mamaJ Ni asipobadilika ni zigo la misumari, ana kauli ya kuomba, yeye kwake Ni amri, usipotoa ana kauli ngumu sana anatamka. Afu hajali chochote Wala impact ya Maneno Yake. Mdomo hauna breki.

kwa mwanaume mwenye roho nyepesi Unaweza kumuua au yakikushinda ujiue mwnyw
Futa kauli please. Angekua zigo la misumari ungeshalitua siku nyingi. Nyie ni pwagu na pwaguzi, pipa na mfuniko. You are addicted to her cat and she is addicted..to your wallet n brainz. Very sad her time is coming.

Dada angu alikuaga kama mama J. Mpaka siku anakuja kuzinduka kashapoteza nuru, afya (HIV), umri, akili, uwezo. Inshort alipoteza kila kitu. Anapikaga zake gongo huko. What Glenn is trying to say is; wanawake tujivalue. Tujithamini kwa kidogo tulichobarikiwa na muumba wetu. Yana mwisho haya hasa kwa bidada huyo..tamu yako.

Namsikitikia maana I see my sister in her. Kuna muda huwa anakumbuka alivyojizimaga data miaka ya zaman anataman airudishe. Anasema ameishi maisha ya hasara sana. She has lost hope. Tunafaa tu kumsaidia maana she has lost all her youth. Na alikuaga mrembo wa jiji. Kama kuna anaewapata akina Layla na Nkinde wa makumbusho enzi hizo naye alikuaga kama hao. Pisi kali long time kitambo..lakin leo anajisemeaga yote ni ubatili.

Nataman mama J angekua JF aisome hii barua. Ila anaweza aone na adharau..well..all the best to her. I hope macho yake yafumbuke soon.
 
Danga Lipoo na ashalimiliki kumuacha haliwezi....why mashosti wasijue kwamba danga lake ni fogooo
Anatafuta umaarufu wa kijinga uku mifuko naumia, na pesa inatoka out of budget.
Uhuni TU huo, akitoka hapo hata hastuki kwann simfanyii chochote Cha maendeleo
 
Yaani toka mwanzo nilijua ni story ya kujitungia ila bado nikashawishika kzisoma hadi mwisho. Tunga vitabu utatoboa
 
Umenikumbusha maneno ya my aunty... wakati hiv imeshamkongoroa na kuharibu ule weupe wake wa asili alikuja kwa mama na dada ake ambaye ni mama yangu....akamwambia....."..... kweli sikuishi maisha ya uaminifu na ya kumheshimu Mungu. Mama alipokuwa akinionya nilikuwa namuona kama adui. Laiti siku zingerudi nyuma nirekebishe.... " hakuna raha hakula. Yani huyu umalaya ulimletea maendeleo hasaaa. Aliacha vitu na hakusoma ila alikuwa na connection hadi za mawaziri.
Ila kabla hajafa alitubu. So najua atakuwa anasubiri ufufuo wa kwanza wa watakatifu.
 
Nitunge story ili iweje Labda!
Yaan nipoteze Muda Kwny keyboard kuandika nyuzi ndefu hivi afu chai ili nipate nn humu jf, Kuna posho ya kufyatua nyuzi?
Au Kwamb natafuta attention kwa kina Nani labda, Sina Kaza za kufanya au vipi. Sikuelewi kabisa mkuu[emoji848]
 
Umenikumbusha maneno ya my aunty... wakati hiv imeshamkongoroa na kuharibu ule weupe wake wa asili alikuja kwa mama na dada ake ambaye ni mama yangu....akamwambia....."..... kweli sikuishi maisha ya uaminifu na ya kumheshimu Mungu. Mama alipokuwa akinionya nilikuwa namuona kama adui. Laiti siku zingerudi nyuma nirekebishe.... " hakuna raha hakula. Yani huyu umalaya ulimletea maendeleo hasaaa. Aliacha vitu na hakusoma ila alikuwa na connection hadi za mawaziri.
Ila kabla hajafa alitubu. So najua atakuwa anasubiri ufufuo wa kwanza wa watakatifu.
Dah! Inatisha hii,
alikufa kifo Cha maumivu sn[emoji26]
 
Tatizo la mamaJ unajaribu kumjengea uwezo ajitegemee Hawezi yeye anaendekeza starehe.

Ndo maana wengi wamelaumu mm kumkopesha au kugoma kulipia elfu 50.

Sio kwamba niligoma,
Haiingii akilini ,una duka, afu emergency inatokea duka linakosa akiba ya elfu 50.
Unabaki unajiuliza hili duka kila siku asbh-jion linafunguliwa, huwa wanauza pesa wanapeleka wapi wkt pesa ya kula kila siku ninampa.

Ujue kua vitu namkazia sio kwamba namkomesha,Bali kumfundisha asinitegemee aweze kujisimama mwnyw.
pole sana hiyo ni empty set
 
Futa kauli please. Angekua zigo la misumari ungeshalitua siku nyingi. Nyie ni pwagu na pwaguzi, pipa na mfuniko. You are addicted to her cat and she is addicted..to your wallet n brainz. Very sad her time is coming.

Dada angu alikuaga kama mama J. Mpaka siku anakuja kuzinduka kashapoteza nuru, afya (HIV), umri, akili, uwezo. Inshort alipoteza kila kitu. Anapikaga zake gongo huko. What Glenn is trying to say is; wanawake tujivalue. Tujithamini kwa kidogo tulichobarikiwa na muumba wetu. Yana mwisho haya hasa kwa bidada huyo..tamu yako.

Namsikitikia maana I see my sister in her. Kuna muda huwa anakumbuka alivyojizimaga data miaka ya zaman anataman airudishe. Anasema ameishi maisha ya hasara sana. She has lost hope. Tunafaa tu kumsaidia maana she has lost all her youth. Na alikuaga mrembo wa jiji. Kama kuna anaewapata akina Layla na Nkinde wa makumbusho enzi hizo naye alikuaga kama hao. Pisi kali long time kitambo..lakin leo anajisemeaga yote ni ubatili.

Nataman mama J angekua JF aisome hii barua. Ila anaweza aone na adharau..well..all the best to her. I hope macho yake yafumbuke soon.
Asante sana dadangu kunielewa.
Najua siwezi kueleweka hasa utetezi ninaoufanya hapa.
 
Bora hata uyo kakumbuka na kapata nafas ya kujuta, Kuna wengine mpk wanafariki kwa maumivu kama uyo aunt wake Nakadori
 
Back
Top Bottom