Futa kauli please. Angekua zigo la misumari ungeshalitua siku nyingi. Nyie ni pwagu na pwaguzi, pipa na mfuniko. You are addicted to her cat and she is addicted..to your wallet n brainz. Very sad her time is coming.
Dada angu alikuaga kama mama J. Mpaka siku anakuja kuzinduka kashapoteza nuru, afya (HIV), umri, akili, uwezo. Inshort alipoteza kila kitu. Anapikaga zake gongo huko. What
Glenn is trying to say is; wanawake tujivalue. Tujithamini kwa kidogo tulichobarikiwa na muumba wetu. Yana mwisho haya hasa kwa bidada huyo..tamu yako.
Namsikitikia maana I see my sister in her. Kuna muda huwa anakumbuka alivyojizimaga data miaka ya zaman anataman airudishe. Anasema ameishi maisha ya hasara sana. She has lost hope. Tunafaa tu kumsaidia maana she has lost all her youth. Na alikuaga mrembo wa jiji. Kama kuna anaewapata akina Layla na Nkinde wa makumbusho enzi hizo naye alikuaga kama hao. Pisi kali long time kitambo..lakin leo anajisemeaga yote ni ubatili.
Nataman mama J angekua JF aisome hii barua. Ila anaweza aone na adharau..well..all the best to her. I hope macho yake yafumbuke soon.