''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Hii imekaa poa sana πŸ”₯πŸ”₯
 
anaehoji ni hovyo sana...kuliko huyo dada
Eti dah dah sijaelewa hivi umejisikiaje na huu msiba dah dah sijaelewa hivi inakuaje mtu ana kuwa mcha mungu alafu anakuwa na mchepuko nje na watoto dah dah πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu wtu nowdayz hawaelewi
 
We kapeace wewe miyeyusho utasemaj mwanamke mbaya!?kwko ndo mbaya,huyo marehem unajua alipendea nn kwahuyo dada.huyo dada yuko sahihi na anatafuta mustakabali wa mtoto wke.we unafikir ni sehem gn nyingine sahihi angeend kuongea na kuelewek
 
Ila bado ulipiga. Hapa ndio utajua Mungu fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…