''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Itakuwa amewahi kabla ya mazishi ili kama kuna ubishi wowote kutoka kwa wanafamilia iwe rahisi kuchukua sampuli kutoka kwa marehemu kwaajili ya kupima vinasaba ili kupata uhalali wa hoja yake
 
Huenda hata michepuko ilikuwa mingil,sasa ikikupiga mkwara kuwa inakuja kulisanua kanisani lazima moyo utoboke
 
Hizi ndio Stori wanazopenda watz.

Uongo na vistori vya kutunga.....Ka Online Tv kamepata views nyingi kupitia wajinga.

Huyo Dada macho makavu na huoni Mtangazaji na Mke mwenyewe hawamtaji Marehemu kwa Jina wala utambulisho wowote ili kuepuka Kesi😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…