Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Acha uphalla🤣🤣Nawajua sana nimefunika tu ila wanaume ni wauaji nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uphalla🤣🤣Nawajua sana nimefunika tu ila wanaume ni wauaji nyie
🙌🙌🙌nimeacha siji tena humuAcha uphalla🤣🤣
Laza taco huko😃😂🙌🙌🙌nimeacha siji tena humu
Itakuwa amewahi kabla ya mazishi ili kama kuna ubishi wowote kutoka kwa wanafamilia iwe rahisi kuchukua sampuli kutoka kwa marehemu kwaajili ya kupima vinasaba ili kupata uhalali wa hoja yakeKuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga.
Marehemu alikuwa ameoa na ana mtoto,
Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi
Mchepuko umekuja na kadi ya clinic ,mawasiliano ya watsapp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi
yaani disco luliingia mmasai.
kwa nini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.
nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo.na ninavyo heshimika kanisani
Kwani ameandika na mdomo.Chunga mdomo wako.
Ajari kazini mkuu,huwezi jua amani aliitaka kwa kiasi gani na huyo akawa healer.Bora angechepuka kwa pisi Kali basi.. ni nini sasa hicho
Nakubaliana na wewe.Ajari kazini mkuu,huwezi jua amani aliitaka kwa kiasi gani na huyo akawa healer.
Huenda hata michepuko ilikuwa mingil,sasa ikikupiga mkwara kuwa inakuja kulisanua kanisani lazima moyo utobokeNilipoiona nilijisikia aibu mpaka nikasema kumbe marehemu alikuwa na makando kando mengi pengine ikasababisha hata moyo kulemewa.
Hatujui inawezekana huyo mwanamke alitumia mtoto kama fimbo ya kumtesa marehemu.
Anyways huyo dada aliona ndiyo wakati sahihi kwake kusikilizwa anyway.
Umesema alikuwa na mtoto mmoja kwenye ndoa, wale wengine wawili je?
Wanaume heeee, heeee
Na mauno kama yote..lazima msabato wa watu adateUnakuta kitu mnato ndio shida ipo hapo
Wanaume wote ni sawa na tumeumbwa kwa macho ya Tamaa hivyo nae ni binadamu mwanaume lolote linawezekana
View: https://youtu.be/EcXfte6SMRs?si=XidjHjoLtMwkDjyu
Hizi ndio Stori wanazopenda watz.Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga.
Marehemu alikuwa ameoa na ana mtoto,
Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi
Mchepuko umekuja na kadi ya clinic ,mawasiliano ya watsapp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi
yaani disco luliingia mmasai.
kwa nini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.
nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo.na ninavyo heshimika kanisani
Alaf si unaona akiongea ana kama dimples hivi kwa mbaaaalii 🔥🔥🔥🔥Na mauno kama yote..lazima msabato wa watu adate
Dawa yake ni kuiangalizia hapahapa JF, hakuna kwenda kuiangalizia youtube na ukiikuta youtube hakuna kui clickAcheni kuhalarisha maovu......hizi ni story za Youtube za kutafutia Views kupitia Matukio.