Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ataishi vizuri tu. Kwanza kashakuwa mkubwaHapana😀😀
Lakini wewe jiulize yule mtoto ataishije?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataishi vizuri tu. Kwanza kashakuwa mkubwaHapana😀😀
Lakini wewe jiulize yule mtoto ataishije?
Mtoto ana dimplesWe kapeace wewe miyeyusho utasemaj mwanamke mbaya!?kwko ndo mbaya,huyo marehem unajua alipendea nn kwahuyo dada.huyo dada yuko sahihi na anatafuta mustakabali wa mtoto wke.we unafikir ni sehem gn nyingine sahihi angeend kuongea na kuelewek
😳Utanuna bure
Nishatoa 50 yangu halafu nimuache hivi hivi?Ila bado ulipiga. Hapa ndio utajua Mungu fundi
Hiyo ndio asili. Sasa unashangaa mwamba kuendelea na pisi ambayo ina issues?Nishatoa 50 yangu halafu nimuache hivi hivi?
Nilimshusha thamani baada ya kumkojolea.
Hivi kwanini wanajitokeza mtu akisharest in peace lakini???
Kazi anaijua labda.Na huyo ndo msabato sasa hawa kina karunguyeye wasiojua hata mlango wa kanisa itakuwaje? Demu lenyewe baya pua zimemsambaa uso mzima
Nachomeka kwako tuu...Hivi kwanini wanajitokeza mtu akisharest in peace lo???
Inapobidi Muwe mnatoa taarifa za mnakochomeka na kuacha chata zenyu ili kuendeleza koo lo !!
lione wewe mwenyewe single mazaWanaume mtakufa midomo wazi jamani! Yani mke unalia misiba miwili, kumpoteza mume na usaliti aliokuwa akikufanyia mume mpaka na mtoto wakazaa kabisa!
Mungu atusaidie.
Iiigweeeeee💃🕺!Nachomeka kwako tuu...
Hayanaga muongozo....Iiigweeeeee💃🕺!
Santo sana 💋
Huyo mchep kamuaibisha marehemu na wanaojifanya washika dini kumbe wasee tu
HakikaHayanaga muongozo....
😳😳
Hiyo kitu hiyo kitu aiseee....Hakika
Ndiomana hata huyo msabato pamoja na maadili yao Ndoivo tena!
Hatari sana
Inawezekana alishindwa kuthibitisha kuwa yeye ni mtoto wa marehemu.Hakuna kitu kama hiko nakukatalia , mahakamani hakuna mtoto wa ndani ya ndoa na wa nje ya ndoa .
Unadanganya
Mtengeneze za kwenuNdiyo mtupe hizo nembe Sasa!