Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

Kwahyo unataka na sisi tushiriki ktk uzinzi unaoufanya wewe tutolee wazimu wako hapa.......ujinga+upumbavu=urofa mfyuuuuuuuuuuu
 
fumanizi jema unadhani mapenzi. ni jiwe linyamaze tuuuu
 
Watu mna hatari jamani...sasa...hujui la kufanya..si umeoa wewe...
mchepuko achana nao...
Hakuna mwanamke anapenda kuona mwenzie hasa aliyeolewa ana faidi tena bwana huyo huyo mmoja..
Siku utakaporudi kutoka huko mkoani ukute mkeo na watoto wote wamewekewa sumu na kufa...ndio utajua ya duniani...
Na inaonyesha huo mchepuko ulikua ni mtaani kwako ...si wa mbali...mana haiwezekani atoke lets say tabata aje ahamie bunju same same compound...
Na anaijua familia yako....usicheze na sisi wanawake....
Kasogea karibu akuvunjie ndoa..km si kukumaliza...
Michepuko hainaga huruma hata chembe...km ulikua hujui..
 
Hapo ni sawa na senene kuangukia kwenye kikaango wakati wenzake wanakaangwa. Endelea kukaanga brother!!
 
Achana nae tafuta mwanamke mwingine huwezi kuvunja heshima kwa mwanamke aliyekuzalia watoto kisa mchepuko...labda km wanawake umewajulia ukubwani..
 
Nashkuru sana, ila kuhusu kupajua nyumbani kwangu sidhani kama kama inawezekana ila mi nadhani Mungu ameamua aoneshe uovu wangu hadharani.

All in all, maelezo yako nimeyaelewa vyema ,sasa naomba unipe ushauri Wa nini nifanye to overcome hii situation
 
faza umenikumbusha mbali sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nishawaigi kuwa na demu nilimdanganya kwetu mwisho wakaja panga kwetu aisee niluteseka sana pale home mana aliniganda sana kitambo ilikuwa...
 
Badala ya kukufanyia surprise wewe anza kwa kufika kwako na Jitahidi ufike usiku ili asubuhi ashuhudie unatoka kwako na umsalimie kwa kujiamini kama hamfahamiani mengine mtayamaliza tu
 
easy sana GIA YA KUINGILIA NYUMBANI ILI KUPUNGUZA MSTUKO KWA MCHEPUKO HII HAPA:TUNGA MANENO MAZURI YAANI INGIA UKU UNAJIFANYA UNAONGEA NA SIMU TENA KWA SAUTI KIAS ATA MTU AWE NDANI KWA ANAYE KUFAHAMU LAZMA ATAMBUE HUYU N FLANI,FANYA YALE MANENO YANAJIELEZA KUA UMEFKA KWAKO PIA UMEIMIS SANA FAMILIA HASA MKEO MTAJE KWA JNA LA MAMA FLANI YA LA MTOTO WAKO AFU JFANYE ANAMWAMBIA UNAEONGEA NAE KUA KUNA MAMBO YA KIPUUZI UMEACHANA NAYO TENA KWA MSISITZO MFANO;yaan hayo mambo sitaki tena na nimemwambie tuachane na mambo hayo kila mtu afanye yake japo n kwa mafumbo nmemwambia ata leo tunakutana lkn hata niona mm naenda nyumban,PIA JIFANYE UNAMSIMAMO ACHILIA MBAL AKAT MKO FARAGHA NA MCHEPUKO.mengine jiongeze
 
JAZA UJAZWE. Ipo siku watatwangana makonde na mkeo(Weka hii kichwani).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…