Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu ni mafala kwa wanawake yes they never cheatA gentleman never cheats to his wife! Ila mkuu umeamua kuzalisha kabisa, dah dunia hii
Spana ya maana hii🤣🤣Afadhali usingehamia Kerege maana dhumuni la mchakato mzima ilikuwa ni kuokoa gharama.
Possible, toka day one unajua mtoto kafanana na nani, mimi nina twins me- na ke-, kabla sijawaona nilipigiwa simu na dada yangu ambaye alikuwa hosp na wifi ake kuwa wa kiume amefanana sana na mm. Sasa wanakaribia miaka miwili, huyo kidume ni pacha wangu kabisa. Copyright. Wa kike kafanana na mama yake.Yani vitoto vina siku mbili ushaanza kujipa moyo umefanana nao. Vuta subira wapigwe na jua, rangi yao halisi ije
Ha ha haAndika barua ya kuomba KUACHA uzee wa kanisa.
science hiyo ni ya uchocholoni, sema mazingira na malezi yana athali hasi ama chanyaScientifically IQ ya mtu haitokani na genetics,IQ ya mtu ni malezi na mazingira aliyokulia,hakuna uhusiano kati ya iq na genetics.
Watoto wanaendeleaje?Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.
Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.
Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.
Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.
Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Kwani Mungu anajua? Mbona kwake huoni aibu unahangaika na mchungaji anayeweza kuwa mchepuko wa mkeo?Kiukweli Ni aibu Mbele ya Mchungaji usharikani kwangu.
Watoto wako mapacha sasa wana mwaka mmoja na miezi kadhaa...Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.