Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Usisahau ni mchepuko tu

Mkeo yupo na huyo ndo wa muhimu zaidi

Hongera kwa kujiongezea gharama za maisha zisizo na ulazima
 
Kuna dada mmoja wa kimjini-mjini aliwahi kuniambia siku hizi mchepuko kukubebea mimba ni mchepuko wenyewe utake kufanya hivyo, cos kuna mbinu nyingi za kuzuia ujauzito.

Kwa hiyo ndg mleta mada hapo huna pa kutokea, mchepuko wako ulidhamiria kukuzalia. kubali tu kuwalea hao mapacha, ni damu yako.
 
Yani vitoto vina siku mbili ushaanza kujipa moyo umefanana nao. Vuta subira wapigwe na jua, rangi yao halisi ije
Possible, toka day one unajua mtoto kafanana na nani, mimi nina twins me- na ke-, kabla sijawaona nilipigiwa simu na dada yangu ambaye alikuwa hosp na wifi ake kuwa wa kiume amefanana sana na mm. Sasa wanakaribia miaka miwili, huyo kidume ni pacha wangu kabisa. Copyright. Wa kike kafanana na mama yake.
 
Scientifically IQ ya mtu haitokani na genetics,IQ ya mtu ni malezi na mazingira aliyokulia,hakuna uhusiano kati ya iq na genetics.
science hiyo ni ya uchocholoni, sema mazingira na malezi yana athali hasi ama chanya
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Watoto wanaendeleaje?
 
Watoto wako mapacha sasa wana mwaka mmoja na miezi kadhaa...

Unanikumbusha jamaa yangu mmoja, ana watoto 8, (2+2+1+1+1+1) yaani wanawake 6 watoto 8, sema lijamaa lijanja sana wanawake wote aliozaa nao wana kazi zao, kwa hiyo hata akikwama madogo hawayumbi...

Nilichojifunza, hata ikitokea nimeoa, then nikapata ushawishi wa kuwa na mchepuko, lazima huyo mchepuko awe na shughuli yake rasmi, kuepusha aibu za kufuatana fuatana ofisini na kupelekana ustawi wa jamii
 
Back
Top Bottom