St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
Tuma private meseji tu namba ya nini usawa huuDada naomba namba Yako inbox nikushauri kitu..
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
πππππ!
Ndivyo mnavoamini sweetheart...πππππ!
Kiumeni Haipendezi banaa!!π