Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Habarini wanajamvi.
Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara.
Biashara yenyewe ni kusambaza Mocktail na Cocktail sehemu mbalimbali hasahasa maofisini.
Kwa tunaotumia hivi vinywaji tunajua namna inavyokuchamgamsha hasahasa ukutane na mtaalam wa kuvitengeneza.
Vinywaji hivi material yake inafanya viwe ni suitable kwa watu ws kazi zote, zile za kukaa ofisini au zile za mitulinga.
Ni kama tu hawa wadada wanaosambaza juisi maofisini, tatizo ya juisi sometimes inaweza kuwa na sukari nyingi ikakufanya uanze kulala baada ya lunch, lkn kwa uzoefu wangu mocktail na cocktail hazikufanyi ukalala bali zinakuchangamsha.
Challenge inayokuja ni bei, minimum price ya mocktail wengi naona ni 5000 kwa glass na kwa cocktail ni 10k kwa glass. Kusolve hii challenge ni rahisi, zinatengenezwa fractions za glass(nusu nusu) makini sana na kuuzwa 2k au 3k au 5k (kwa cocktail)
Baada ya hapo ukipata mabinti watatu, wazuri wanaovutia kwa kazi ya kusambaza hizo drinks basi una uhakika wa kufanya biashara mzuri tu.
Ni idea kama hiihii ya kuuza juice, lkn modified, something more special, unique and classy. Na kwa taarifa yako biashara zote zimebase kufulfill any one of the core human drives, sasa "desire to look classy" ni mojawapo ya human drives, na huo ndo utakua ushindi wa anaefanya hii biashara.
Just thinking out loud.