Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

Si uwe mchepuko sasa, offer ipo wazi hio, wewe naonaga una akili. Hahahahahaaaaa
Mie napenda mizagamuo mkuu utakimbia mwenyewe......hiyo biashara na ualimu nitaifanya saa ngapi...labda unielimishe
 
Tena kama ni mwalimu ndo inakufaa sasa. Especially kama kituo chako cha kazi kipo Dar, Mwanza au Dodoma

Ni kucheza tu na mabinti wanaosambaza hizo drinks.

Halafu mizagamuo hapa ndo mahala pake, mimi ninyime hadi msosi ila K tu usininyime
 
Habarini wanajamvi.

Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara.

Biashara yenyewe ni kusambaza Mocktail na Cocktail sehemu mbalimbali hasahasa maofisini.

Kwa tunaotumia hivi vinywaji tunajua namna inavyokuchamgamsha hasahasa ukutane na mtaalam wa kuvitengeneza.

Vinywaji hivi material yake inafanya viwe ni suitable kwa watu ws kazi zote, zile za kukaa ofisini au zile za mitulinga.

Ni kama tu hawa wadada wanaosambaza juisi maofisini, tatizo ya juisi sometimes inaweza kuwa na sukari nyingi ikakufanya uanze kulala baada ya lunch, lkn kwa uzoefu wangu mocktail na cocktail hazikufanyi ukalala bali zinakuchangamsha.

Challenge inayokuja ni bei, minimum price ya mocktail wengi naona ni 5000 kwa glass na kwa cocktail ni 10k kwa glass. Kusolve hii challenge ni rahisi, zinatengenezwa fractions za glass(nusu nusu) makini sana na kuuzwa 2k au 3k au 5k (kwa cocktail)

Baada ya hapo ukipata mabinti watatu, wazuri wanaovutia kwa kazi ya kusambaza hizo drinks basi una uhakika wa kufanya biashara mzuri tu.

Ni idea kama hiihii ya kuuza juice, lkn modified, something more special, unique and classy. Na kwa taarifa yako biashara zote zimebase kufulfill any one of the core human drives, sasa "desire to look classy" ni mojawapo ya human drives, na huo ndo utakua ushindi wa anaefanya hii biashara.

Just thinking out loud.
Kwanini hiyo kazi ya macocktail sijui mocktails usimpe mkeo naye akasambaza hayo madude ofisi ili ashikwe makalio vizuri.
 
Tena kama ni mwalimu ndo inakufaa sasa. Especially kama kituo chako cha kazi kipo Dar, Mwanza au Dodoma

Ni kucheza tu na mabinti wanaosambaza hizo drinks.

Halafu mizagamuo hapa ndo mahala pake, mimi ninyime hadi msosi ila K tu usininyime
🤣🤣🤣🤣🤭 Haya,asante sana 🙌
 
Habarini wanajamvi.

Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara.

Biashara yenyewe ni kusambaza Mocktail na Cocktail sehemu mbalimbali hasahasa maofisini.

Kwa tunaotumia hivi vinywaji tunajua namna inavyokuchamgamsha hasahasa ukutane na mtaalam wa kuvitengeneza.

Vinywaji hivi material yake inafanya viwe ni suitable kwa watu ws kazi zote, zile za kukaa ofisini au zile za mitulinga.

Ni kama tu hawa wadada wanaosambaza juisi maofisini, tatizo ya juisi sometimes inaweza kuwa na sukari nyingi ikakufanya uanze kulala baada ya lunch, lkn kwa uzoefu wangu mocktail na cocktail hazikufanyi ukalala bali zinakuchangamsha.

Challenge inayokuja ni bei, minimum price ya mocktail wengi naona ni 5000 kwa glass na kwa cocktail ni 10k kwa glass. Kusolve hii challenge ni rahisi, zinatengenezwa fractions za glass(nusu nusu) makini sana na kuuzwa 2k au 3k au 5k (kwa cocktail)

Baada ya hapo ukipata mabinti watatu, wazuri wanaovutia kwa kazi ya kusambaza hizo drinks basi una uhakika wa kufanya biashara mzuri tu.

Ni idea kama hiihii ya kuuza juice, lkn modified, something more special, unique and classy. Na kwa taarifa yako biashara zote zimebase kufulfill any one of the core human drives, sasa "desire to look classy" ni mojawapo ya human drives, na huo ndo utakua ushindi wa anaefanya hii biashara.

Just thinking out loud.
Nifungulie mimi alafu nimuajiri mchepuko wako
 
Kila siku nawaambia, Ukimuondoa Mke .

Michepuko ,Hawa unafungua Biashara ambayo wewe bado ndio unaendelea kua Boss na Decision Maker ili siku akikengeuka, unamuondoa kwenye mzunguko wako wa Pesa .

Unachotaka kufanya ni sawa na kusomesha mchumba 🤣🤣🤣
 
Hio biashara inahusisha contact points nyingi sana, ukimuweka mkeo kwenye hio biashara akakutana na boss alokuzidi wewe kila kitu ni sawa na kumuweka mkeo kwenye majaribu tu.

Ndo maana nikasema mchepuko. Huyo najua tunagonga wengi, zamu kwa zamu
 
Unashangaa?

Nimefanya kazi Texas USA Miaka miwili kule ofisin unakuta hadi Whiskey, ni ice zako tu
USA/Ulaya tofauti sana na hapa Tz.
Tanzania kwa ujumla pombe aina yeyote hata iwe na 2% alcohol ni najisi kwenye ofisi iwe ya umma au binafsi.
Hizo cocktails labda ziwe za juice..)))
 
Sawa cocktail ina alcohol lkn Mocktails ni pure herbs na matunda chief, ndo maana nikaziweka zote
 
Hio biashara inahusisha contact points nyingi sana, ukimuweka mkeo kwenye hio biashara akakutana na boss alokuzidi wewe kila kitu ni sawa na kumuweka mkeo kwenye majaribu tu.

Ndo maana nikasema mchepuko. Huyo najua tunagonga wengi, zamu kwa zamu
Aahh sawa nmekuelewa, Kwa maana yakwamba, mchepuko hata akikutana na Boss kukuzidi, sio mbaya ,muhim unaendelea kuichapa?..

Nmekuelewa.
 
Back
Top Bottom