Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

USA/Ulaya tofauti sana na hapa Tz.
Tanzania kwa ujumla pombe aina yeyote hata iwe na 2% alcohol ni najisi kwenye ofisi iwe ya umma au binafsi.
Hizo cocktails labda ziwe za juice..)))

Cocktails za juice ni zipi tena mzee wetu
 
Habarini wanajamvi.

Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara.

Biashara yenyewe ni kusambaza Mocktail na Cocktail sehemu mbalimbali hasahasa maofisini.

Kwa tunaotumia hivi vinywaji tunajua namna inavyokuchamgamsha hasahasa ukutane na mtaalam wa kuvitengeneza.

Vinywaji hivi material yake inafanya viwe ni suitable kwa watu ws kazi zote, zile za kukaa ofisini au zile za mitulinga.

Ni kama tu hawa wadada wanaosambaza juisi maofisini, tatizo ya juisi sometimes inaweza kuwa na sukari nyingi ikakufanya uanze kulala baada ya lunch, lkn kwa uzoefu wangu mocktail na cocktail hazikufanyi ukalala bali zinakuchangamsha.

Challenge inayokuja ni bei, minimum price ya mocktail wengi naona ni 5000 kwa glass na kwa cocktail ni 10k kwa glass. Kusolve hii challenge ni rahisi, zinatengenezwa fractions za glass(nusu nusu) makini sana na kuuzwa 2k au 3k au 5k (kwa cocktail)

Baada ya hapo ukipata mabinti watatu, wazuri wanaovutia kwa kazi ya kusambaza hizo drinks basi una uhakika wa kufanya biashara mzuri tu.

Ni idea kama hiihii ya kuuza juice, lkn modified, something more special, unique and classy. Na kwa taarifa yako biashara zote zimebase kufulfill any one of the core human drives, sasa "desire to look classy" ni mojawapo ya human drives, na huo ndo utakua ushindi wa anaefanya hii biashara.

Just thinking out loud.
Biashara ya kusimuliwa haijawahi kuwa na hasara ni wew tu namna ambayo utakuwa umejipanga
 
Biashara kama ya matikiti ya graduate wa UD, biashara za idea, nenda field uone...

By the way kuwa na mchepuko ni ushamba, 100%, na unajiangamiza wewe na jamii yako.
 
Trash, out of topic. Shut up!
 
Kama ungemfungulia biashara mchepuko wako wewe ndio ungekuwa mjinga

Mchepuko ni kwa ajili ya ngono tu.

Atleast ufikirie kumfungulia biashara mkeo
Wewe vipi kuna michepuka ina faida sana mfano kukuzalia watoto. Mm mchepuko wangu namthamini coz amenizalia mtoto wa kiume ambae nilishindwa kumpata kwa mke wangu. Ningekuwa vzr ningemfungulia hata biashara ya kupakua mizigo bandarini ashindane na dp world.
 
Hawa watu ambao hawafanyi biashara huwa wanazibuni wakiwa wenyewe na ni za hovyo.

Hakuna biashara hapo!
Sheih hv umekunywa hata chai kweli?

Hili gubu lako linachangiwa na njaa naona kabisa
 
#fact - inauma. Nakuelewa, Hakuna biashara kwa hilo eneo wakati wa kazi. Nakuelewa, sometimes ni ngumu ku admit fact, google tofauti kati ya fact na truth utanielewa.
 
mkuu unabisha sababu huelewi na hujui hata cocktail na mocktail ni nini kiundani

Tuanze polepole, kuna wadada wanauza juice maofisini. Hawa wamefanikiwa, lkn mocktail(achana na cocktail kwanza) huwa haina kilevi, so inawexa uzwa kama jinsi. Na mocktail ni kitu classy, tofauti na mtu kukuona unakunywa juice plain ya matunda

Tukija kwenye cocktail, hii ina kilevi lkn haileweshi kivile, kuna watu wanakunywa vilevi kazini hasa kampuni za private, market tyr ipo hapo inakusubiri.

Sasa wewe unabisha sababu upo too negative, bad for your health.

Nakumbushia, kunywa breakfast nzuri na nzito, sio vipolo, hilo gubu litakua linaishia polepole
 
Back
Top Bottom