uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
mkuu unabisha sababu huelewi na hujui hata cocktail na mocktail ni nini kiundani
Tuanze polepole, kuna wadada wanauza juice maofisini. Hawa wamefanikiwa, lkn mocktail(achana na cocktail kwanza) huwa haina kilevi, so inawexa uzwa kama jinsi. Na mocktail ni kitu classy, tofauti na mtu kukuona unakunywa juice plain ya matunda
Tukija kwenye cocktail, hii ina kilevi lkn haileweshi kivile, kuna watu wanakunywa vilevi kazini hasa kampuni za private, market tyr ipo hapo inakusubiri.
Sasa wewe unabisha sababu upo too negative, bad for your health.
Nakumbushia, kunywa breakfast nzuri na nzito, sio vipolo, hilo gubu litakua linaishia polepole
Biashara za makaratasi