Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Acha matusi, hujui nine invest kiasi gani kwake, kuanzia biashara, usafiri, makazi na posho za matumizi kila week
Ndio nilichokuwa namaanisha kasome vizuri comment yangu

Kwa nini uinvest kwa mchepuko fara wewe?

Mchepuko ni kutomba tu sio business partner wala mpenzi

Wanaume hata tuwe na michepuko always family comes first
​
 
Mke wangu ana kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kuwa nacho, Sema mchepuko huongeza utamu wa ndoa Maana hakuna kitu kizuri kama kupendwa kwa dhati na mwanamke zaidi ya mmoja
Sasa mchepuko alikupenda au alikuwa anakuchuna tu?

Kama alikupenda mbona kaolewa na mwanaume mwingine?

Hivi una akili kweli mwanetu au mchepuko alikuroga?

Unaongea usenge sana.
​
 
Ndio nilichokuwa namaanisha kasome vizuri comment yangu

Kwa nini uinvest kwa mchepuko fara wewe?

Mchepuko ni kutomba tu sio business partner wala mpenzi

Wanaume hata tuwe na michepuko always family comes first
​
Familia nishaiwekea misingi yote ambayo mwanaume unatakiwa kuiweka ili hata usipokuwepo haita adhirika, sasa mimi kujipa furaha kidogo pembeni ndio United fara
 
Wewe fara mmoja tu, huwa hatuwekezi kwa michepuko

Unakuja unajiliza tu hapa halafu unatamba misingi kwenye familia iko sawa

Acha modern women wawafundishe akili wanaume wajinga wajinga kama nyinyi
​
 
Sasa mchepuko alikupenda au alikuwa anakuchuna tu?

Kama alikupenda mbona kaolewa na mwanaume mwingine?

Hivi una akili kweli mwanetu au mchepuko alikuroga?

Unaongea usenge sana.
​
Mchepuko alitaka nimuoe hata moe wa pili, mm nikasema siwezi maana dini hairuhusu ila sikutaka kuja kuleta mifarakano ya familia Ola nikamwambia nitampa huduma zote ndio maana nilimfungulia biashara, mpa usafiri na makazi
 
Umetahiriwa mara ya pili mjomba tulia tukupake dawa.
 
Mchepuko alitaka nimuoe hata moe wa pili, mm nikasema siwezi maana dini hairuhusu ila sikutaka kuja kuleta mifarakano ya familia Ola nikamwambia nitampa huduma zote ndio maana nilimfungulia biashara, mpa usafiri na makazi
"Nikamwambia nitampa huduma zote"

Kwa kauli hii niseme wazi wewe ni mpumbavu
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…