Mchepuko wangu kashauriwa bora azae kwanza na yeyote atakayepatikana

Mimi Roman Catholic [emoji4]
 
Yaan nawaza mpk KICHWA kinauma maana wife baada ya sekeseke la mwaka Jana,

Anauhakika Mimi na mama J tushaachana MDA Sana, Sasa akija kuskia tena mpk nmezaa nae. Aisee ataumia sana wife.

Ndo maana Niko dillema
Usizae nae bwana, muache awe na mahusiano mengine!
Ila km haupo tayari kuachana nae ,ss hapo ndo balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Mbona wewe ndio ulianza Ujinga Kwa kumuambia alikuwa tayari kutoa uchi wake ili apate kazi! Kwani wewe ulimoa Mkeo akiwa Bikira??
 
...Mbona wewe ndio ulianza Ujinga Kwa kumuambia alikuwa tayari kutoa uchi wake ili apate kazi! Kwani wewe ulimoa Mkeo akiwa Bikira??
Ilo kweli nakiri nilikosea, Sema ubabe TU nilitumia pale mkuu
 
Duh
Nilichojifunza,sio rahisi ukamfuna mtu,au ukajua then wakakwambia wameavhana eti na we ukaamini kirahisi kabisa!
Hakuna kitu km hicho,huwa wanapumzika tu kupisha Shari!

Niache mume kisa kazaa au amegonga nje? (Japo inauma) ila sikuachii ng'ooo labda kuwe na shida nyingine au hatimizi majukumu yake km baba!
Ila na huo mchepuko ujipange aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye kukuambia ukweli kuwa angempa huyo mkurugenzi utamu kuna tatizo gani? Mbona amekuwa honest kwako na ameongea ukweli wake, ulitaka akudanganye?

Aloo kuna wanaume mna kazi sana, yeye kasema ukweli tu kuwa "mzee angeomba ningempa, nimesota mtaani miaka nimeshachoka". Tunapowajaji sana wanawake wakati hata sisi tunafanya ngono hovyo hovyo tunakosea sana.
 
Uko SAHII KABISA mkuu,
Pale nilikaa nikajitafakari nikaona nilikosea TU.

Sema Ndo vile ubabe wa mfumo dume unajikausha kwamba "Mwanaume Hakosei"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…