Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mambo ya uchi uke yalinishindaga haya,sensei sjui sempa alikuwa anatukomoa na mizoezi migumu watoto wamiaka 10 anatufanyisha mizoezi ya kwenye drunken masta
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
Mkuu ninaomba unisaidie namba za Khalifa kiumbe,jamaa namuona sana pande za tabata ila fursa yakuongea nae sijapata.Nitashukuru sana endapo utanipatia namba zake,please mkuu nitumie hizo Namba PM.Ahsante
 
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
Pia hata namba za mawala
 
Mkuu inamaana huyu anaeimbwa sio mwenyewe halisi?
 
Kharifa kiumbe moto ni kweli ametrain na Mtu wa siku nyingi kwenye mazoezi lakini alikuwa wa kawaida.... Kwa sababu sisi watu wa sanaa hizi za mapigano tuna usemi tunapenda sana kuutumia MAZOEZI NI KITU KINGINE NA SPARING NI KITU KINGINE
Mkuu ninamdogo wangu nae yupo vzr kidogo ktk karate vp unaweza msaidia?
 
Achana na msabaha kaka,kigoma ni hazina hasa ya shotokan,walikuwepo akina kiyoka,sensey wangii,rama buronge,isaya, nk hao ni wakongwe,
Hahaha niliwahi shuhudia pambano la Isaya na sensei Yoko aisee ilikuwa shida,ila mwisho wa siku yoko alimzidi isaya kwa point.

Huyo yoko ndio mwalimu wa huyo dogo Msabaha ambae kwasasa hana mpinzani Igombe nzina pale mwanza.
 
kuna siku nilipita Mbagala rangi 3 nikawakuta hao jamaa wanapiga kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…