Alikuwa wa kawaida sana, tulivamia dojo lao na Master Dulla tulipiga wote tena kipindi hicho nipo form 3satani hivi yupo maana nae manzese alikua noma miaka hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa wa kawaida sana, tulivamia dojo lao na Master Dulla tulipiga wote tena kipindi hicho nipo form 3satani hivi yupo maana nae manzese alikua noma miaka hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
wakuu, baba mzazi wa zaidi Hamisi. Yule sensei nilokupa jina lake amefariki jana na anazikwa leo saa nne pangani Tanga.Sio mbaya u kunisaidia pia anatumia jina gani fb
Apumzike kwa amani ase sema sikufanikiwa kumpatawakuu, baba mzazi wa zaidi Hamisi. Yule sensei nilokupa jina lake amefariki jana na anazikwa leo saa nne pangani Tanga.Rest in peace mzee Magereza![]()
Ya mtafute baada ya mambo ya mazishi mkuuApumzike kwa amani ase sema sikufanikiwa kumpata
Nipatie jina kamili mkuu niweze kuchekiYa mtafute baada ya mambo ya mazishi mkuu
Zaidi HamisiNipatie jina kamili mkuu niweze kucheki
Mkuu ninaomba unisaidie namba za Khalifa kiumbe,jamaa namuona sana pande za tabata ila fursa yakuongea nae sijapata.Nitashukuru sana endapo utanipatia namba zake,please mkuu nitumie hizo Namba PM.AhsanteNaweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
Pia hata namba za mawalaNaweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
Ndio huyo mkuu Jamaa yuko peace hatariNdio huyo wanamuita chief kiumbe the big boss?
Mkuu inamaana huyu anaeimbwa sio mwenyewe halisi?Sio huyu hata kidogo. Wengi wametumia jina hilo kutokana na kujifafanisha kwa kumpenda huyu. Alipokamatwa huyo unayemsema na kuona kwenye gazeti wengi tulistuka. Tukamtafuta sensei akasema nipo. Ni vijana walionipenda hao. Yani ni kama watu kujiita dame mkuu. .... mpaka huyu maarufi anaeimbwa kila siku hilo jina katoa hapo kwa huyu sensei
Alaa kumbe..basi freshNdio huyo mkuu Jamaa yuko peace hatari
Mkuu ninamdogo wangu nae yupo vzr kidogo ktk karate vp unaweza msaidia?Kharifa kiumbe moto ni kweli ametrain na Mtu wa siku nyingi kwenye mazoezi lakini alikuwa wa kawaida.... Kwa sababu sisi watu wa sanaa hizi za mapigano tuna usemi tunapenda sana kuutumia MAZOEZI NI KITU KINGINE NA SPARING NI KITU KINGINE
Hahaha niliwahi shuhudia pambano la Isaya na sensei Yoko aisee ilikuwa shida,ila mwisho wa siku yoko alimzidi isaya kwa point.Achana na msabaha kaka,kigoma ni hazina hasa ya shotokan,walikuwepo akina kiyoka,sensey wangii,rama buronge,isaya, nk hao ni wakongwe,
Kuna dogo yupo mwanza anaitwa Msabaha yupo vzrMtaalamu wa haya mambo tuonane Nina mambo kazaa tuongee nipo Dodoma
kuna siku nilipita Mbagala rangi 3 nikawakuta hao jamaa wanapiga kelele tu1.Alishindana na nani wa nje akamshinda?
2. Alishiriki mashindano gani ya kimataifa na kushika nafasi gani?
3. Alikuwa anashiriki aina gani ya karate? maana kila aina ina mbinu zake tofauti na ni mara chache sana kukuta mtu anayeweza kucheza karate mfano ( guju-ryu ama shotokan) akaweza kucheza vyema judo ambayo ni mbinu za mianguko na mikabo ,kimsingi hata body morphology za JUDOKA na KARATEDO ni tofauti kabisa kulingana na aina ya mazoezi wanayoyafanya
4. Sasa huyu, unayemtaja nabashiri ni wale waliokuwa wanacheza mamichezo ya mtaani yasiyojulikana na ni aina gani , na waalimu wao wa kimitaani mitaani tuu wasio na viwango vyovyote vya kimataifa au wasiofuata misingi ya aina fulani ya mchezo zaidi ya kuchanganya mambinu ya kuokoteza na hivyo kukosa sifa za kimataifa. Madojo mengi ya mitaani ukienda hata KATA zinazochezwa hazijulikani ni aina gani ya mchezo ni mbwembwe za mfundishaji tuu ambazo hazina viwango.