Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

Mambo ya uchi uke yalinishindaga haya,sensei sjui sempa alikuwa anatukomoa na mizoezi migumu watoto wamiaka 10 anatufanyisha mizoezi ya kwenye drunken masta
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio mbaya u kunisaidia pia anatumia jina gani fb
wakuu, baba mzazi wa zaidi Hamisi. Yule sensei nilokupa jina lake amefariki jana na anazikwa leo saa nne pangani Tanga.
b58059e9b8bcd014d9272dd92c34a472.jpg
Rest in peace mzee Magereza
 
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
Mkuu ninaomba unisaidie namba za Khalifa kiumbe,jamaa namuona sana pande za tabata ila fursa yakuongea nae sijapata.Nitashukuru sana endapo utanipatia namba zake,please mkuu nitumie hizo Namba PM.Ahsante
 
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
Pia hata namba za mawala
 
Sio huyu hata kidogo. Wengi wametumia jina hilo kutokana na kujifafanisha kwa kumpenda huyu. Alipokamatwa huyo unayemsema na kuona kwenye gazeti wengi tulistuka. Tukamtafuta sensei akasema nipo. Ni vijana walionipenda hao. Yani ni kama watu kujiita dame mkuu. .... mpaka huyu maarufi anaeimbwa kila siku hilo jina katoa hapo kwa huyu sensei
Mkuu inamaana huyu anaeimbwa sio mwenyewe halisi?
 
Kharifa kiumbe moto ni kweli ametrain na Mtu wa siku nyingi kwenye mazoezi lakini alikuwa wa kawaida.... Kwa sababu sisi watu wa sanaa hizi za mapigano tuna usemi tunapenda sana kuutumia MAZOEZI NI KITU KINGINE NA SPARING NI KITU KINGINE
Mkuu ninamdogo wangu nae yupo vzr kidogo ktk karate vp unaweza msaidia?
 
Achana na msabaha kaka,kigoma ni hazina hasa ya shotokan,walikuwepo akina kiyoka,sensey wangii,rama buronge,isaya, nk hao ni wakongwe,
Hahaha niliwahi shuhudia pambano la Isaya na sensei Yoko aisee ilikuwa shida,ila mwisho wa siku yoko alimzidi isaya kwa point.

Huyo yoko ndio mwalimu wa huyo dogo Msabaha ambae kwasasa hana mpinzani Igombe nzina pale mwanza.
 
1.Alishindana na nani wa nje akamshinda?

2. Alishiriki mashindano gani ya kimataifa na kushika nafasi gani?

3. Alikuwa anashiriki aina gani ya karate? maana kila aina ina mbinu zake tofauti na ni mara chache sana kukuta mtu anayeweza kucheza karate mfano ( guju-ryu ama shotokan) akaweza kucheza vyema judo ambayo ni mbinu za mianguko na mikabo ,kimsingi hata body morphology za JUDOKA na KARATEDO ni tofauti kabisa kulingana na aina ya mazoezi wanayoyafanya

4. Sasa huyu, unayemtaja nabashiri ni wale waliokuwa wanacheza mamichezo ya mtaani yasiyojulikana na ni aina gani , na waalimu wao wa kimitaani mitaani tuu wasio na viwango vyovyote vya kimataifa au wasiofuata misingi ya aina fulani ya mchezo zaidi ya kuchanganya mambinu ya kuokoteza na hivyo kukosa sifa za kimataifa. Madojo mengi ya mitaani ukienda hata KATA zinazochezwa hazijulikani ni aina gani ya mchezo ni mbwembwe za mfundishaji tuu ambazo hazina viwango.
kuna siku nilipita Mbagala rangi 3 nikawakuta hao jamaa wanapiga kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom