Poa MKUU - ASANTENi kweli unayosema. Ila haikua tangazo la kutafuta pambano. Hatafuti sifa. Tuliomfahamu tumemkumbuka kwa kua ni mwalimu wetu. Kama una uwezo wa kimpiga uweke kwa mwenye uwezo unaolingana na wako. Asante sana
Tatizo sio kushinda au kushindwa. Tunazingumzia uwezo wake tu kwenye hii gameHuyu kiumbe moto alishapigwa mara 2 na master kaini wa tanga kwenye mchezo wa kick boxer ddc Magomeni kuondoa
Acha uongo marehemu rajabu jack Chan hajafa kwa sababu ya game.... Marehemu rajabu jack Chan amekufa mwaka juzi sasa Hebu niambie kiumbe moto na rajabu wamepigana mwaka juz?.... Acha kupamba pamba Watu ovyo.... Rajabu jack Chan amefariki mwaka juzi na alikuwa anasumbuliwa na tb na mara ya mwisho enzi za uhai wake alikuwa ni getman pale RAMBO VIEW manzese.... Acha uongo kiumbe moto alikuwa mkali Kiasi chake na kulikuwa na Watu wanampiga kiumbe moto Kila game muulize kiumbe moto anamjua MASTER IMANUEL KAINI wa TANGA?Mnakumbuka rajabu juckchein? Alipanda jukwaani akaomba pambano na khalifa kiumbe moto. Siku ya pambano alipigwa round ya pili na akafariki. Sababu zikaongezeka za kufuta mchezo wa karate au kuwekewa sheria
Mkuu unajua umemsifia sana kiumbe moto.... Kharifa wa kawaida sana....mimi nipo kwenye hili game muda sana na nilikuwa natrain tambaza gym.... Kiumbe moto alikuwa wa kawaida tofauti na wewe unavyomtunisha.... Mbona ameshachezea sana za chembe nje ya ring....Tatizo sio kushinda au kushindwa. Tunazingumzia uwezo wake tu kwenye hii game
Pia inasemekana kala pinna nae si haba kwenye haya mambo!je huyu anamuweza scorpion?
Kaseba na kiumbe hawajapigana. Kiutaalam Kaseba hamuwezi kiumbe motoLabda nikuulize swali unaikumbuka game yoyote ya kharifa kiumbe moto na japhet kaseba?
Mkuu huko nyuma kama ulisoma niliweka wazi kua sio kama hajapoteza pambano. Ila nilisema naongelea uwezo wake kwenye game. Nikasema kua kushinda ni kitu kinaweza kutokea. Ila Kiutaalam wa mchezo bado kaini hakumfikia halifa. Na hata waliporudiana pambano halikwisha kwa fujo
Huyo wa kwanza kushoto ndio master kaini ndo alikuwa kiboko wa kharifa kiumbe moto
Unajua mkuu.... Narudia tena kharifa ni wa kawaida sana mimi Watu ninaowajua wamempga kharifa 6Mkuu huko nyuma kama ulisoma niliweka wazi kua sio kama hajapoteza pambano. Ila nilisema naongelea uwezo wake kwenye game. Nikasema kua kushinda ni kitu kinaweza kutokea. Ila Kiutaalam wa mchezo bado kaini hakumfikia halifa. Na hata waliporudiana pambano halikwisha kwa fujo
Hahaha. OK nashukuru kwa hilo. Ila yeye kaseba namfahamu vizuri. Na yeye alishakiri kwangu mimi kua hakuna mcheza karate kama halifa TanzaniaNa kisa cha kustaafu kharifa amemkimbia kaseba kwa sababu kaseba ndo alikuwa bingwa na ilikuwa lazima akutane na kharifa hapo ndo bwana mkubwa akatundika grov
Mkuu satana nilikuwepo alipovamia dojo ya pale kanisani manzese. Aliitwa khalifa ndo alimpiga akamkimbiza nikishuhudiaSifa ulizompa kharifa sio zake..... Sifa hizo ulitakiwa kumpa SATANA master wa manzese ndo mbabe aliyesumbua ambaye anaheshimika miaka leo upande wa karate ma - master wote uliowataja wanamjua SATANA nani
Naomba kujua tofauti ya Karate, Judo na Kung Fu
Uliza ma master wote uliowataja inasemekana Santana alikuwa na uwezo wa hali ya juu kwenye sanaa ya mapigano Kiasi cha wachina wa urafiki enzi hizo kumpa jina la SATANA.... SATANA ni jina la master wa kichina huko China kizazi cha zamani... Yaani ma Master wanaocheza Kung fu ya kitamaduni yaani hiyo ufundishwi mpaka master akutunuku ndio anakupa huo ufundi tena sio yote kidogo tu....Mkuu satana nilikuwepo alipovamia dojo ya pale kanisani manzese. Aliitwa khalifa ndo alimpiga akamkimbiza nikishuhudia