Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mama yako hajambo, tatizo anaumia mwanae tangu ulipo hamia huko daslam umekua wa kula bata na maji, hata sim yako umemua chia binti ambae kila siku anatujibu "namba unayo piga kwa sasa haipatikani"...😔Vipi mna endelea viZuri huko uzunguni😂😁