Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Wanakigoma vipi? Mtu kazaliwa Kambi ya wakimbizi hebu fanya kufafanua vizuri ni Raia wa Nchi gani kama ni Mrundi au bana Congolese tujue
Mtanzania...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakigoma vipi? Mtu kazaliwa Kambi ya wakimbizi hebu fanya kufafanua vizuri ni Raia wa Nchi gani kama ni Mrundi au bana Congolese tujue
Duh Muha mtani wangu, nikiangalia picha yako ya Nyarugusu na hiyo ya Marekani nabaki kusema 'Mungu alakoze chane'Huyu ndio Mwana Kigoma
Makali ya Bernad Kamungo yalianzia hapa katika uwanja huu wa Nyarugusu, kwenye ardhi ya mkoa wa Kigoma.
Alizaliwa January 1, 2002, Kasulu kijiji cha Nyarugusu.
View attachment 2711820
...........
Hapa ni Kigoma Kasulu,
Huu ndio uwanja wa Nyarugusu ambapo makali ya Bernard Kamungo yalianzia hapa, kwasababu yeye alizaliwa hapa Kigoma, ni Mwana Kigoma.
View attachment 2711823
..........
Uwanja wa Nyarugusu Kasulu, uwanja uliomkuza na kumlea MwanaKigoma Bernard Kamungo.
View attachment 2711827
................
Bernard Kamungo, namba 30 BHN
Hapa sasa alikua amefika Marekani kutokea Kigoma, Nyarugusu
View attachment 2711830
................
Kwa mara ya kwanza Tanzania ikaanza kung'aa nchini Marekani kupitia michezo, Bernard Kamungo akaanza kuipeperusha bendera ya Tanzania na kugonga vichwa vya habari nchini Marekani. Huyu ni mwana Kigoma.
View attachment 2711832
................
Wachezaji tisa wa Tanzania wanaocheza nje ya Nchi kwenye picha moja.
» Bernard Kamungo (jezi no 5)
'Mwenye bleach' kutoka katika klabu ya FC Dallas ya ligi kuu Nchini Marekani inakuwa mara yake ya kwanza kuitwa Taifastars. Mtoto wa Kigoma![]()
View attachment 2711834
..................
Bernard Kamungo (Mtoto wa Kigoma, shujaa wa Lake Tanganyika) akiwa na Mbwana Samata katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania.
View attachment 2711837
..............
Huyu ndio mwanakigoma na Mshambuliaji wa Kimataifa wa timu ya Tanzania anayekipiga katika klabu ya FC Dallas inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani, Bernard Kamungo ameendelea kuwa gumzo kutokana na uwezo wake ambapo aliifungia timu yake goli katika sare ya 4-4 dhidi ya Inter Miami CF anayochezea Lionel Messi.
Kutoka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma alikocheza soka mtaani hadi kucheza soka nchini Marekani, safari yake inaonekana kama filamu ya michezo yenye mabonde na milima.
Kamungo alisajiliwa Dallas FC mwaka 2022 ambapo yeye na familia yake walihamia Texas, Marekani mwaka 2016.
Nyota huyo ameendelea kuwa na msimu mzuri ambapo Januari 2023 aliitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania.
Kutoka kigoma Tanzania Hadi marekani na kuwa mfalme wa FC Dallas
Kutoka kucheza chandim Hadi kucheza na Lionel Andrés Messi, na kuonesha upinzani mkubwa walipokutana uwanjani.
Anaitwa Bernad Kamungo mshambuliaji wa FC Dallas na timu ya Taifa ya Tanzania.
View attachment 2711841
Kuna nnKaribu sana Kigoma
Dogo ni mbembe na leo alikuwa anaongea na mbembe mwezio wasapcall.Yaani kwa kuwa anajitambulisha yeye ni Mtanzania lakini hata mamlaka hazitaki kuondoa utata bali kaitwa timu ya Taifa, wanaanza kushabikia ni Mtanzania.
Wajuzi naomba mnisaidie maswali haya.
Tanzania haina uraia pacha, je huyo mchezaji yeye inakuwaje anatoka Marekani kuja kuchezea timu ya Taifa? Anatumia passport ya Tanzania au USA mpaka sasa?
Kwa uzoefu tu, wale wakimbizi waliokuwa wakipelekwa USA na Canada wengi wao wakifika huko wanapewa uraia wa nchi hizo! Sasa huyu mchezaji yeye hakupewa huo uraia mpaka sasa?
Pia, ieleweke, Mtanzania wa kijijini si rahisi kuhamia USA na Canada. Lakini tunaambiwa wazazi wa mchezaji walihamia USA 2016 wakitokea Nyarugusu.
Ieleweke, ilikuwa rahisi kwa hao wazazi kuhamia USA kupitia mgongo wa kuwa wakimbizi na hata huko walipofika wanatambulika nchi walizotoka na siyo Tanzania kwa sababu Watanzania hawakuruhusiwa katika mipango ya kuwapeleka wakimbizi USA na Canada. Walichukuliwa nchi zilizokuwa na vita mfano Burundi, DRC, Rwanda.
kilichokuwa kikifanyika, baadhi ya Watanzania wa Kigoma walikuwa wanahonga wanaingia kwenye mfumo wa kusafirishwa kama wakimbizi lakini walikuwa wana idea na nchi hizo zenye vita mfano lugha, utamaduni, maeneo mana kuna interview.
Kama huyo mchezaji ni Mtanzania labda alipitia huu mfumo wa kujichomeka ni mkimbizi feki, lakini huko USA lazima alishapewa uraia na alitambulika nchi nyingine na siyo Tanzanka mama angejulikana ni Mtanzania amejichomeka kwa Warundi angerudishwa Tanzania hata baada ya kufika huko. Je huyo mchezaji anayo passport ya Tanzania?
Hoja hapa, tubadilike Watanzania turuhusu uraia pacha siyo vizuri kuvunja sheria kwa baadhi ya mambo. Hapa uraia pacha ungeruhusiwa tungempokea vizuri tu huyo Mrundi!
Thibitisha hilo kwa facts na sio blah blah.Dogo ni mbembe na leo alikuwa anaongea na mbembe mwezio wasapcall.
Dogo alikuwa anasema ni bora achezee taifa staz kwasabb drc hawez kupata namba pia bongo kapewa kibunda cha kutosha samatta ndy kamtengenezea dili.
Stk kufunguka zaidi
Nikweli aliondoka 2016 nyarugusu camp
Nimejiuliza kama weweWanakigoma vipi? Mtu kazaliwa Kambi ya wakimbizi hebu fanya kufafanua vizuri ni Raia wa Nchi gani kama ni Mrundi au bana Congolese tujue
Majukumu brother. Nipo sana tu.Mkuu kumbe hupo? Ulipoteaga wapi?
Huyu alizaliwa kwenye kambi ya wakimbizi,maisha ya mtu hayana tafusiri hakuna ajuaye kesho yakeHuyu ndio Mwana Kigoma
Makali ya Bernad Kamungo yalianzia hapa katika uwanja huu wa Nyarugusu, kwenye ardhi ya mkoa wa Kigoma.
Alizaliwa January 1, 2002, Kasulu kijiji cha Nyarugusu.
View attachment 2711820
...........
Hapa ni Kigoma Kasulu,
Huu ndio uwanja wa Nyarugusu ambapo makali ya Bernard Kamungo yalianzia hapa, kwasababu yeye alizaliwa hapa Kigoma, ni Mwana Kigoma.
View attachment 2711823
..........
Uwanja wa Nyarugusu Kasulu, uwanja uliomkuza na kumlea MwanaKigoma Bernard Kamungo.
View attachment 2711827
................
Bernard Kamungo, namba 30 BHN
Hapa sasa alikua amefika Marekani kutokea Kigoma, Nyarugusu
View attachment 2711830
................
Kwa mara ya kwanza Tanzania ikaanza kung'aa nchini Marekani kupitia michezo, Bernard Kamungo akaanza kuipeperusha bendera ya Tanzania na kugonga vichwa vya habari nchini Marekani. Huyu ni mwana Kigoma.
View attachment 2711832
................
Wachezaji tisa wa Tanzania wanaocheza nje ya Nchi kwenye picha moja.
» Bernard Kamungo (jezi no 5)
'Mwenye bleach' kutoka katika klabu ya FC Dallas ya ligi kuu Nchini Marekani inakuwa mara yake ya kwanza kuitwa Taifastars. Mtoto wa Kigoma![]()
View attachment 2711834
..................
Bernard Kamungo (Mtoto wa Kigoma, shujaa wa Lake Tanganyika) akiwa na Mbwana Samata katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania.
View attachment 2711837
..............
Huyu ndio mwanakigoma na Mshambuliaji wa Kimataifa wa timu ya Tanzania anayekipiga katika klabu ya FC Dallas inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani, Bernard Kamungo ameendelea kuwa gumzo kutokana na uwezo wake ambapo aliifungia timu yake goli katika sare ya 4-4 dhidi ya Inter Miami CF anayochezea Lionel Messi.
Kutoka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma alikocheza soka mtaani hadi kucheza soka nchini Marekani, safari yake inaonekana kama filamu ya michezo yenye mabonde na milima.
Kamungo alisajiliwa Dallas FC mwaka 2022 ambapo yeye na familia yake walihamia Texas, Marekani mwaka 2016.
Nyota huyo ameendelea kuwa na msimu mzuri ambapo Januari 2023 aliitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania.
Kutoka kigoma Tanzania Hadi marekani na kuwa mfalme wa FC Dallas
Kutoka kucheza chandim Hadi kucheza na Lionel Andrés Messi, na kuonesha upinzani mkubwa walipokutana uwanjani.
Anaitwa Bernad Kamungo mshambuliaji wa FC Dallas na timu ya Taifa ya Tanzania.
View attachment 2711841
Ndiyo maaana wakimbizi wote pale Nyarugusu wanaza kwenda Ulaya tu.Huyu alizaliwa kwenye kambi ya wakimbizi,maisha ya mtu hayana tafusiri hakuna ajuaye kesho yake
Mkuu zamani ulikuwaga na avatar picha flani ya mchoro wa cartoon. Irudishewachu, mwakeye...
Mwandishi anaweza akawa Zitto Kabwe.Naona uliyeandika hapa utakuwa wa kigoma. Huyu Ni sifa za Taifa Zima Ila zingekuwa mbaya ndio zingekuwa za wanakigoma pekee kwenye uzuri ama sifa Ni Taifa Kama Taifa na sio kigoma Kama kigoma